Bongo hakuna magari ya kuzowa taka taka niyalete haya magari huko dar?

mzaramu wa kitunda kwenda ulaya imekuwa nongwa

Mtoto kutembelea nyumba ya jirani kakuta wanakula pilau au checken wings anarudi kumdai babake mbona hatuli pilau au chichen wings.

Hata matajiri wenyewe hupishana kipato, matumizi na matanuzi sembuse unalosema.

Nimeona magari yanayosomba uchafu siku hizi hasa jijini Dar ni ya kiwango kinachokubalika, unalodai we ni kutokana na kutokuwa na upembuzi yakinifu kutofautisha nyumba ya babako na nyumba ya jirani yako ulikotembelea.

Mitaa ya Vingunguti, Manzese, Shimolaudongo, Gongolamboto, Mbagala, Tegeta na kwingineko magari haya yatapita wapi kusomba taka milangoni mwa nyumba za watu?
 
Back
Top Bottom