Bonge moja la thread...

Preta mimi na wewe tumeanza kuzenguana lini, hata ufikie hatua ya kwenda kuninywea Castle Lite (lakini iliyokamuliwa viroba chapa Jogoo ndani yake). Au mpaka nilambe kidole cheye mchanga na kusema "Hakyanani vile..." ndo uamini kama we are here for serious matters?
Watu tulimsubiri Pinda mpaka Jumatatu yake na bado akaja kuzingua, sembuse Mphamvu hata masaa 72 bado?
Loh, wacha hiyana mtoto mzuri.
For JF's sake Mphamvu won't let you down.
Sawasawa?

sawa nitasubiri....ila usikawie...umenifanya jana nikanywa castle nyingi sana.....ukichelewa nakunywa jack daniel....
 
Last edited by a moderator:
sawa nitasubiri....ila usikawie...umenifanya jana nikanywa castle nyingi sana.....ukichelewa nakunywa jack daniel....

Usijali mpenzi (beyond sisterhood context), hilo ji-post ndo nimelituma kwa mhariri wa Daily Nation ya Kenya, once akikamilisha context editing, halafu itaenda kwa Prof. Msanjila pale TUKI kwa ajili ya kuhakiki matumizi ya lugha afu moja kwa moja jamvini.
Kuhusu Castle Lite usifikiri unamkomoa dereva kwa kupitiliza kituo, wakikupiga mtungo mie simo.
Ohooo...
 
Back
Top Bottom