Bonge moja la thread...

Mphamvu hata ka-intro tu...vibaya ivo!tumezoea zile coming soon za kwenye TV wanatupa dondoo kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Duh gordons imefika mahali yake
...COMING SOON!
TOPIC: Yet to be sorted
TIME & DATE: Undisclosed
VENUE: Hapahapa Chit-Chat
WAHUSIKA: Yeyote anayejisikia...

Stay tuned!
And do not even think about daring to miss it.
Sawasawa?
 
huku ni kuzenguana....kwanza leo mwisho wa mwezi....ngoja nikapige mateke vyupa huko.......

Preta mimi na wewe tumeanza kuzenguana lini, hata ufikie hatua ya kwenda kuninywea Castle Lite (lakini iliyokamuliwa viroba chapa Jogoo ndani yake). Au mpaka nilambe kidole cheye mchanga na kusema "Hakyanani vile..." ndo uamini kama we are here for serious matters?
Watu tulimsubiri Pinda mpaka Jumatatu yake na bado akaja kuzingua, sembuse Mphamvu hata masaa 72 bado?
Loh, wacha hiyana mtoto mzuri.
For JF's sake Mphamvu won't let you down.
Sawasawa?
 
Last edited by a moderator:
Mphamvu hata ka-intro tu...vibaya ivo!tumezoea zile coming soon za kwenye TV wanatupa dondoo kidogo!

Aah BAGAH?
Ina maana hupendi walau mabadiliko kidogo, nikikupa intro hiyo itakuwa muhtasari wa thread sasa, na sio taarifa kama nilivyokusudia.
 
Last edited by a moderator:
Sitamiss. frm tdy si log off nitakua nalinda chit chat.

Now thats the spirit!
Ila username yako inaua bendi mkuu, hata kuku-tag kwenye thread-to-come nitaona aibu.
Si unajua mama anakagua siku hizi... LOL!
 
Bangee nibangueeeeeee bonge la komenti litakuja subiri.....

Usijali mkuu, tena siku hizi kuna ku-mention na ku-tag, lazima mwanga wa kijani ufike kwa skrini ya PC yako kwa juu pale.
What a notification?
Ha ha ha ha ha!
 
Back
Top Bottom