Bonge la noma kwa weusi

INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
4,990
4,255
Kama ilivyokawaida yangu yazungukia mitandao mbalimbali siku ya Jmos,nikakutana na habari hii "Lord Eyez akamatwa kwa kuiba vifaa vya gari ya Ommy dimpoz".Pia kukiwa na tweet ya huyo bwana mdogo kulala mmika kuibiwa na kuvifuma
vitu alivyo ibiwa kwa kamanda kutoka weusi Company
Vifaa vilivyo ibwa ni pamoja na Power window.Katika msara huu inaonyesha Lord Eyez ndio King kunaviajana wake anawatuma kufanya hiyo kazi.

Chanzo;VITUKO VYA MTAA
 

Attachments

  • lord-eyez2.jpg
    lord-eyez2.jpg
    23.6 KB · Views: 89
  • lord-eyez-2.jpg
    lord-eyez-2.jpg
    28.5 KB · Views: 91
be specific and clear mkuu.
usiandike kwa kudhani kuwa umaarufu wa hao vijana ni kwa kila mtu, wengine ndio tunaona hayo majina kwa mara ya kwanza
 
kaiba kweli.na kakubali vitu wameficha tandale.anasema anaiba na mtoto wa salmin amour
 
mtandao wao kuna dada ambaye ndio driver na wanatumia gari dogo jeupe together na msela wake anaitwa Shukuru..Lord Eyez ameamua kuwa mwizi anaiba sana pale mlimani city pia wameshawahi iba silaha kwenye magari yaliyopaki pale.
 
acheni waibe..hakuna wanachokipata ki-maslahi kwenye hiyo miziki yao wanayoimba..kwa hiyo wanaongeza kipato cha ziada...huyo aliyeibiwa mwenyewe gari kahongwa na mke wa mtu kaaaaziiiii kwelikweliiii. BONGO-FLEVAAAAAAAAAAAAAAA.
 
Ni aibu sana, tuliwategemea wangekuwa mfano mzuri kwa vijana na washabiki wao.
 
be specific and clear mkuu.
usiandike kwa kudhani kuwa umaarufu wa hao vijana ni kwa kila mtu, wengine ndio tunaona hayo majina kwa mara ya kwanza

awe specific vip? Si kaweka na pics zake kabisa? Kilichobak ni ww kutafuta mwenyewe kama bado hujamjua
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom