Bonge la business plan

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,082
1,131
Habarini za saa hizi wote.
Kama mjuavyo siku zote katika kuanzisha biashara;-cha muhimu huwa ni wazo kwanza.mm binafsi nimepata wazo la kufungua pump ya kuuza mafuta ya taa hapa mtaani kwetu.naomba mwenye ufahamu wa kutosha anisaidie ufafanuzi kuhusu biashara hiyo.

nawasilisha ombi.
 
Nenda ofisi za Oilcom Tabata utapata maelezo kamili.
 
sina pump ila nina wazo la kuwa nayo.

BASI ACHANA NAYO........NUNUA HII KITU

Truck-Tire-Changer-T980-.jpg
 
sina pump ila nina wazo la kuwa nayo.

Kabla hujatupa fedha yako ktk kununua pump, jitahidi uzungukie idara husika ktk biashara hiyo ili uone kama unaweza kuwa na sifa. Nenda mipango miji ya hapo ulipo, kisha waone jamaa wa fire brigade wa hapo ulipo, waone jamaa wa leseni wakupe ushauri.

Unaweza nunua pump, jamaa wa leseni wakakwambia tunaomba kibali toka fire brigade, au mipango miji wakakugomea kutoa kibali cha kuweka pump yako ulipochagua.

Pale njia ya kwenda Mzumbe university, kuna kituo cha kampuni fulani kimevunjwa kikiwa bado kipya kabisa kwa sababu waliamini pesa ni kila kitu.
 
kumbe haujafanya hata utafiti halafu title inasema BONGE LA BUS. PLAN, kijana unatembocard master card?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom