bondela kumwagilia kwa pump

Mangolo

Member
Oct 30, 2011
28
11
Wakuu poleni na sikukuu
Ombi langu kwenu ni wapi nitapata bonde lenye maji msimu wote wa mwaka kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga
na mahindi ya mkwanyuo ninayo PUMP tatizo shamba tu.
 
Bonde lipo maji yako chini ya ardhi umbali wa mita 20-40
 
Mkuu kama hutajali naomba kufahamishwa aina ya pump uliyonayo pamoja na gharama za kuipata. Asante
Wakuu poleni na sikukuu
Ombi langu kwenu ni wapi nitapata bonde lenye maji msimu wote wa mwaka kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga
na mahindi ya mkwanyuo ninayo PUMP tatizo shamba tu.
 
nipm, ninaweza kukukodishia la kwetu, liko pembeni ya mto. kwa sasa nimwshindwa kulima kwasababu sina msimamizi mzuri.
 
Back
Top Bottom