wadau kunataarifa kuwa kuna bomu limepatikana maeneo ya makazi ya watu msasani jijini leo na wanajeshi wamelipeleka lugalo.
mwenye taarifa zaidi please...
Msasani kubwa- bonde la mpunga au wapi?
Ahsante kwa taarifa...!!!
No comments...!!!
Kuna mabomu ya mbagala?lilikuwa limetegwa au ni