zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
huyo sinana ndio nani na anawekeza nini jangwani?
SINANA INTERP.
ANAUZA MATREKTA YA KILIMO KWANZA.
Ndo aliwahonga CDA,POLICE na Mahakama ya ARDHI.Haingii akilini kwanini LUKUVI aliwambia eneo hlo msiliguse,Msekela nae alikataa kuhamishwa kwa wananch
Huyu Mr Maimu ndo mwenye kampuni hyo ya Sinana interpr,nyuma yake kuna AGREY MWANRI HUYU NI NANI PALE TAMISEMI