Bomoa bomoa mitaa ya SUNA

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
........... Kuna tangazo kwamba Manispaa ya Kinondoni inaanza bomoa bomoa ya nyumba zilizoko maeneo ya bonde la Suna - Magomeni, wakati wowote kuanzia sasa tangazo hilo linawataka wenye nyumba kuzibomoa wenyewe, aidha kuondoa mali zao ....kuepukana na adha itakayotokea.............

source:- Radio one
 
Nilijua maana ya hii habari ni kuwa bomoa bomoa inafanyika eneo husika kumbe ni tangazo tu?
 
Nilijua maana ya hii habari ni kuwa bomoa bomoa inafanyika eneo husika kumbe ni tangazo tu?

..........Jose!!!! hii ni taarifa ya tahadhari kwa wenye kuhusika sio lazima mpaka bomoa ianze, wanaohusika wanatakiwa kuchukua tahadhari... inawezekana wengine hawajui habari hii, ..... na wengine tuna ndugu na marafiki maeneo hayo lazima tuwaarifu ...........watastukia tingatinga zinasaga mali zao.....

Mpaka bomoa bomoa inapangwa kufanyika ujue watu wote wamekwishapewa taarifa hivyo suala la tahadhari halipo bali kinachofuata ni utekelezaji tu.
 
Main Entry: breaking news
Part of Speech: n
Definition: news that is happening and being reported or revealed at this moment
Example: CNN reports the breaking news.
 
Bonde la sunna ndio wapi mpaka wapi vile?....nikipanda daladala la kutoka mbagala kwenda mwenge nashuka kituo gani?
 
Napata wasiwasi kama waislam wanaweza kuandamana kupinga zoezi hilo...coz jina limekaa ki-islamslam vile "sunnhat al jabar"...ahahaha sunnaaaaaaaaaaaah.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom