Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

Haaaa..Pasco, bado unawaza ya gess Mtwara? Kishimba na jk waliamua kutumia kundi dogo la jeshi wajilipe pesa ya campaign 2010. Labda Mwamunyange atusaidie vinginevyo...haitaji tena diplomacy hapo...either we kepp quite or ... sorry!

Mkuu Muta', hii
wajilipe pesa ya campaign 2010
Ni mimi ndio sielewi? au?!.
Ni kampeni za 2010 au 2015?!, kama ni 2015 JK sio mgombea!.
Pasco
 
Hii Grace period ni lazima ifike hiyo miaka ishirini au tumepewa tu na hivyo tukiwa tayari kuanza kulipa deni mfano baada ya miaka mitano tunaweza kufanya hivyo na kupunguza makali?

Na mimi nilikuwa na swali kama hlo.Hata ikitokea tunaweza lipa kabla ya kipindi hiko naona hamna Kiongozi atakayekubali lipa hivyo ataona hizo pesa allocate kwenye miradi mingne maana kila mwaka budget yetu ina deficit.
 
Mkuu ZZK, nakuona upo, na leo nimekusikia!, TPDC iko chini yako, tuambieni ukweli ni nini kinaendelea!.


PASCO now you are jocking!. Kama unafikiri ZZK anaweza kusema ukweli, basi humfahamu hata tone. Jamaa huyu anaelewa wazi jinsi nchi itakavyopigwa na hawa Wachina. lakin yeye anafaidika na kipigo hicho kwa Watz. Hawezi kuwa msaada tena asilan. Amejifanya anafuatilia hela za Uswiz kumbe amepewa kazi ya kulinda hela za Uswiz na kuwachota waTz akili.

Kiukweli, gesi inathamani kubwa, lakn watz hawatafaidika nayo wawekezaji ndiyo watakaofaidika. Watachukua faida yote, sisi watatujengea vishule 2 au 3, na barabara kadhaa halafu wabia wao watapita wakisifia hivyo vimiradi na sisi watz tutapiga makofi na vigelele na kucheza noma wakati wa uzinduzi. INASIKITISHA SANA, NA MBAYA ZAIDI HATUNA CHA KUFANYA.
 
nashukuru sana lakini sasa u have missed one thing,ama umekisahau na ambacho ni lazima kikae kichwani,"HE WHO OWNS GOLD MAKES THE RULE" hizo amortization wenyewe ndio waliozivumbua xo be watchful

Mkuu Chimbuvu, na wewe unaweza usiwe sahihi katika hii kokoteo la riba. Kama hiyo riba imekuwa pegged at a straight line basis then itakuwa sawa! Lakini kama ni reducing balance basi ujue hiyo riba haitakuwa sawa, nenda kwa excel (spread sheet solutions, insert loan amortization schedule) then unashusha vitu uone!
 
Mkisoma hizi habari muwe mnajaribu kuwa objective....

Kwani deni tulofikia hapa tulikopa kwa Mchina...?


Wazungu nao ni wale wale...na wanatumia propaganda kumchafua mwenzao...lakini wote ni mule mule...bora mchina haingilii siasa za watu kama kutulazimisha kuwa mashoga...

Mimi nimesoma nchi za Ulaya nawajua cizuri...hawapati usingizi sababu mchina anataka kuchukuakoloni lao...na ana mtaji kuliko wao (credibility)

Sasa hivi scholars wote wengi wa west wana research topic ya 'China in Africa'....mimi nina imani na mchina kuliko hawa waliotunyonya tangu uhuru na tuko pale pale...

Wametunyonya muda mrefu...China imekuja Afrika kama mkombozi (counter power)...eti environmental pollution Barrick na GGM ni za China?




Mkuu, hii inatisha, nimeona ni-copy hizi paragraphs..

"China's involvement could threaten this African renaissance. Growing Chinese loans to Africa, especially at high commercial rates, could threaten billions in recent forgiveness by the World Bank and IMF's Heavily Indebted Poor Countries Initiative, since China also loans to these nations.

If China uses aid tied to investment to win major oil and gas deals, it could convince other emerging powers in Africa, like India, to follow suit, potentially undermining governance and sparking conflict for resources. Chinese arms sales continue to fuel conflict in Africa;

China publishes no information about its arms transfers overseas, and a recent Amnesty International report found 17 percent of small arms collected by peacekeepers in the Congo were of Chinese design. "

Na hii;
"Chinese investment could contribute to unchecked environmental destruction and poor labor standards, since Chinese firms have little experience with green policies and unions at home, and some African nations have powerful union movements. In Gabon, illegal timber exports to China comprise roughly 70 percent of all timber exports.

In Zambia, workers in a Chinese-run mine have erupted in violent protest against safety standards and low wages, which they believe led to an accident last year in which 49 miners died.

In the recent Zambian election, opposition candidate Michael Sata played on this anger, accusing Chinese companies of exploiting local workers. Though Sata lost, his supporters then rioted in the Zambian capital, targeting Chinese businesses."
 
Kinachosikitisha kuhusu huu mradi ni suala la Ajira na vitendea kazi, Last week nilikua pale CPTDC Masaki wafanyakazi wote ni wachina isipokuwa madereva tu, ambao nao wanalalamika wanafanyishwa kazi bila kuzingatia mida ya kazi na malipo yao vi viduchu.
Nafikiri Serikali zetu ziwe makini kwenye hii mikataba atleast iwanufaishe wazawa hata kwenye AJIRA, Jamaa wametengeneza vi sub-companies vingi tu ambavyo wanajizungushia kazi wao kwa wao.
 
Eti labor conditions...ina maana gani kama kampuni inawalipa wafanyakazi 200 (maana wengine ni kima cha chini) mshahara mkubwa lakini toka imeanza operation more than 10 years haijawahi kulipa kodi...ina faida gani kwa Taifa....

Bora tujaribu na China...afterall hawana record mbaya kwenye bilateral agreements kama hawa wa west...

Wanapiga kelele tu lakini hawako tayari kusaidia kwenye development aid kama ujenzi wa mabomba...wao wanataka watupe ela ya kula tuuuu (budget) ili tuendelee kuwa ombaomba watutawale vizuri....Ndugu zangu fikirieni kwa mapana...msiwe carried away na propaganda za nchi za west against China

Hao jamaa hawataki tujitegemee ili tuendelee kuwa shamba lao (la bibi)

Waliposikia Mchina anajenga bandari Tz wameshika vichwa kuwa sasa wamekwisha...(influence yao inashuka)...roho mbaya tuuu
 
hivi kweli watu 190,000 tunashindwa kuchanganua hii kitu?huo ni mkopo nafuu zaidi kwenye hii dunia,kwanza mleta mada atuambie mkopo huu ni wa miaka mingapi,tukijua miaka mingapi ya kulipa mkopo,ndio itakuwa rahisi kuangalia madhara ya grace period,anayejua mkpo ni wa miaka mingapi atuambie,tutachanganua kila kitu
 
Na mimi japo si mchumi najua unavyozidi ku delay kulipa (grace period) ni nafuu kwa mkopaji....

watu wana negativity sana na china...wanasahahu the most corrupt government Nigeria wawekezaji wake kwenye mafuta ni wazungu...

tufanye biashara...hayo ya governance ni juu yetu...tusitafute mchawi


hivi kweli watu 190,000 tunashindwa kuchanganua hii kitu?huo ni mkopo nafuu zaidi kwenye hii dunia,kwanza mleta mada atuambie mkopo huu ni wa miaka mingapi,tukijua miaka mingapi ya kulipa mkopo,ndio itakuwa rahisi kuangalia madhara ya grace period,anayejua mkpo ni wa miaka mingapi atuambie,tutachanganua kila kitu
 
Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu,



Nimefanikiwa kutembelea huko na kuiona sura ya masharti ya kukopa kutoka Exim Bank ya Uchina, japo mimi sio mtaalam wa uchumi, ila there is something fishy!.

Unapewa mkopo mkubwa mnene wa masharti nafuu ya ajabu with grace period ya miaka 20 ndipo uanze kulipa tena kwa riba ndogo ajabu ya asilimia 01% tuu!.

Niliposoma masharti ya awali, nikakuta mfano huu mkopo wetu wa Dola bilioni 1.2 utaanza kulipwa mwaka 2032!, ila katika hii miaka 20 ya grace period, kila mwaka tunatakiwa kulipa ile interest ya 01% ya dola bilioni 1.2 ni dola milioni 1,200 kwa mwaka!. Kwa ile miaka 20 tuu ya grace period, tutakuwa tumelipa riba ya dola milioni 24,000,000 hapo ndio bado hatujaanza kulipa deni!.

Wachumi na wana mahesabu hebu angalieni hii kitu!, correct me if I'm wrong!, kumbe hicho kinachodaiwa kuitwa ni grace period ya miaka 20 huku tukilipa interest, sio grace period lolote, sii chochote!.

My Take:
Lengo sio kuibeza serikali tena mimi ni miongoni mwa wale ma supporter gesi ije Dar!, bali tunahitaji tuu uwazi Jee this time kwenye mkataba wa bomba la gesi, tumeingia mkataba wa aina gani?. Tutaulipa kwa miaka mingapi?, Ukipiga thamani ya mkopo ambao ni dola bilioni 1.2, kwa interest ya asilimia 01% kuanzia mwaka 2032, jee tutalipa deni kwa miaka mingapi?. Jee jumla tutakuwa tumelipa kiasi gani?!.


kaka sisi tupo bank... hamna kitu kama grace period

grace period unalipa interest na mda ukifika unalipa interest + principal

ndivo ilivyo
 
Kijana hiyo pesa ni ndogo sana ukiangalia na mkopo tuliopewa na faida yake kwa uchemi,Hutake usitake mkopo tumekopa n tutalipa kwa maendeleo ya Taifa.
 
kaka sisi tupo bank... hamna kitu kama grace period

grace period unalipa interest na mda ukifika unalipa interest + principal

ndivo ilivyo
Wachina bwana!, uchumi wa gesi ni uchumi mkubwa, deni lote la 1.2 bilion linalipika ndani ya mwaka mmoja!, tunapewa mkopo riba asilimia 1% kwa mwaka na kulazimishwa grace period ya miaka 20 kabla hujaanja kulipa na principal!, hiyo grace period yote inalipiwa interest, halafu tunajiita tuna wachumi!. Rais wetu anatangaza kwa furaha kabisa kuwa Wachina wametusaidia!.

Huu ni umasikini wa akili!.

Pasco.
 
Wachina bwana!, uchumi wa gesi ni uchumi mkubwa, deni lote la 1.2 bilion linalipika ndani ya mwaka mmoja!, tunapewa mkopo riba asilimia 1% kwa mwaka na kulazimishwa grace period ya miaka 20 kabla hujaanja kulipa na principal!, hiyo grace period yote inalipiwa interest, halafu tunajiita tuna wachumi!. Rais wetu anatangaza kwa furaha kabisa kuwa Wachina wametusaidia!.

Huu ni umasikini wa akili!.

Pasco.

tena anasema ni mkopo wenye masharti nafuuu
 
Wachina bwana!, uchumi wa gesi ni uchumi mkubwa, deni lote la 1.2 bilion linalipika ndani ya mwaka mmoja!, tunapewa mkopo riba asilimia 1% kwa mwaka na kulazimishwa grace period ya miaka 20 kabla hujaanja kulipa na principal!, hiyo grace period yote inalipiwa interest, halafu tunajiita tuna wachumi!. Rais wetu anatangaza kwa furaha kabisa kuwa Wachina wametusaidia!.

Huu ni umasikini wa akili!.

Pasco.

labda ni umasikin wa akili lakin najua wanajua wanafanya nin..ila kwasabab sisi ni watanzania, aaah freeeeesh tuu:mvutaji:
 
This is the actual picture you have portlayed for the existing relationship being pursued by Chinese investors on other developing countries. They are here for business. Always business is business, there is no charity motive attached to it. The key strategy is to minimize cost and pocket the difference. These investors they can use several cosmetic sweeteners to disguise the real motive such that the exploited might think these investors are interested in her /her development. We have to stand for ourselves because nobody can stand for our rights.
Well said.. Investors are always after profits and they always come with new techniques to accomplish their mision. The problem is how are we going to stand on ourselves while we dont have the means to. Our public debt is so huge to the extent that our planned 1 bn usd euro bond is frozen by IMF waiting to see the size of deficit in the upcoming budget. I think our analyst are well aware of the true costs of such kind deals and they chose to accept them anyway coz it might be the best option available.
 
Wachina bwana!, uchumi wa gesi ni uchumi mkubwa, deni lote la 1.2 bilion linalipika ndani ya mwaka mmoja!, tunapewa mkopo riba asilimia 1% kwa mwaka na kulazimishwa grace period ya miaka 20 kabla hujaanja kulipa na principal!, hiyo grace period yote inalipiwa interest, halafu tunajiita tuna wachumi!. Rais wetu anatangaza kwa furaha kabisa kuwa Wachina wametusaidia!.

Huu ni umasikini wa akili!.

Pasco.

Siyo umasikini wa akili , ni njaa ya akili.
Viongozi muda wote wanawaza wizi tu.
 
This kind of deals have a lot of conditionalities which put the borrower on receiving end without any power to review or renegotiate the deal. We need transparency and vetting mechanisms of these contracts before signing them.
 
Did you guys expect mpewe pesa bure bure. Hakuna kitu kinaitwa mkopo wenye masharti nafuu. Unafuu ni katika mawazo ya mkopaji tu.
 
Back
Top Bottom