Bomb scare at Kempinski?

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Sep 30, 2007
800
171
Reports indicate a bomb scare at Kilimanjaro Hotel Kempinski...high presence of security birds...and that the bomb has already been put out of action...scanty details like this is all that i could get, is there anyone with a credible info?
 
Nimesikia habari hizi juu juu, kwamba jana kuna mlipuko ulitoke pale Kilimanjaro.

Naomba mwenye habari ya kilichotokea atufafanulie
 
Kama kuna ukweli wowote, hilo bomu liliingiaje pale na kuna ulinzi wa hali ya juu, siwezi kutafakari.
 
Ilikuwa mfanyakazi ananyunyizia dawa ya mbu (PIF PAF) akanyunyizia kwenye mashine inayochemsha maji ya kuoshea glass pale Casino ndo ukatokea mlipuko mdogo sio mkubwa. halikuwa Bomu.

ikizingatiwa dawa nyingi za Mbu ni Inflamable
 
nimesikia habari hizi juu juu, kwamba jana kuna mlipuko ulitoke pale kilimanjaro.

Naomba mwenye habari ya kilichotokea atufafanulie
je kwanini mlipuko umeuita bomu?

Kwani we hujui gesi inalipuka, umeme unalipuka, hata taa za kandili huwa zinalipuka.
 
Back
Top Bottom