bolt browser wamechemsha

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Leo opera mini imenizingu nikaamua kutumia bolt browser kwenye kimeo changu na nikakutana na ujumbe huu

"Dear BOLT User,
The free BOLT mobile browsing service
will be discontinued.
Unfortunately, the economic
circumstances prevent us from
running a
free service going forward. We
apologize for any inconvenience
and thank you for your loyalty and
support.
The BOLT Team"

Neither the website nor the
corresponding emails sent to users
mentioned the possibility of a paid
version.

Na website yao ipo closed utakuta ujumbe kama huu.
 
Aisee ngoja na mimi nijaribu nione

Labda wanataka kuleta ya kulipia lakini hivi tu walikuwa free lakini watu wengi walikua hawaipendelei sasa wakileta ya kulipia sijui itakuwaje, labda watakuja na kitu kipya ingwa hawajaema lolote kwa sasa zaidi ya huo ujumbe
Na downloads zote kwenye site yao wameondoa
 
Labda wanataka kuleta ya kulipia lakini hivi tu walikuwa free lakini watu wengi walikua hawaipendelei sasa wakileta ya kulipia sijui itakuwaje, labda watakuja na kitu kipya ingwa hawajaema lolote kwa sasa zaidi ya huo ujumbe
inawezekana walikuwa wanachukua user needs na kufanya test ya engine yao ambayo may be wanakuja itumia baadae na new UI. Lakini inawezekana wamepata issue nyingine ya kufanya au wamefilisika. We don't know!
 
Me nilikuwa naipenda sana kwa sababu nikiwa JF nilikuwa nafahamu nani yuko online hata pia kwenye FB .Sasa wakubwa ni ipi yenye uwezo kama huo?????
 
opera ucweb zote zina uwezo kama ucweb. Mfano kama unataka uview jf au fb kwa pc version kwanza nenda setting ka unclick mobile view then kwa jf kuna button juu kwa fb search google neno facebook then angalia result ukiona result ina kisimu mbele jua ni version ya simu kama hamna kisimu mbele ni pc version ingia itakua kama pc
 
Uc browser ninzuri sana.tena ina option kibao inauwezo pia wa ku copy na paste.
 
Back
Top Bottom