Boko haram...wannigeria walifanya makosa toka mwanzo...

Mwakiluma

Senior Member
Jan 23, 2012
120
47
...kundi hili la vijana la boko haram tayari limeshaingia kuwa la kigaidi...tangu mwanza hawa walikuwa ni vijana wasio na ajira waliojikusanya sehemu moja...serikali ikaficha ukweli na kuliita ni kundi la kigaidi...iwapo serikali ya nigeria ingetatua matatizo yaliyopo ya ajira kwa vijana na kutokomeza ufisadi boko wasingefika huko....serikali ilifanya makosa kwa kuwashambulia kwa silaha nziko vijana hawa ambao hapo mwanzo wala hawakuwa hata na mkuki...dunia imefichwa ukweli na kuaminishwa kuwa hili ni kundi la kiislamu....sio kweli...kutokana na matatizo makubwa ya kifisadi yafanywayo ni viongozi wasomi nchini nigeria vijana hawa wanaamini kuwa... mfumo wa kuelimisha(boko) utakuwa ni laana(haram)...
 
Mbina umeanza kwa mkwara?
 
Mhhhhhh.........Mwakiluma naona unaluma kweli ane wei karibu sana mkuu.
 
sasa inakuaje wanashambulia wakristo tu?, na wasidhambulie labda viongozi ama ofisi za umma
 
Back
Top Bottom