Boko Haram strikes again!

Status
Not open for further replies.
Unajuwa maana ya Boko Haram? na unajuwa kwanini wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? Ulishawasikia kabla ya huyu Rais kushika? walikuwepo lakini uliwasikia? Jiulize kwa nini? au soma kidogo uelewe kwanini.

Kina John Garang walivyodai Sudan ya kusini, kuna mtu aliwaita ma "terrorist"? Fikiri.
Hapa niko darasani, ninajifunza kutoka kwako, Msomi na Mjuzi mzuri sana wa Islamu.
Naomba kabla sijapotoka uniweke sawa. Unazifananisha harakati za kina Garang na Harakati za Islam?

Unasema, wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? ni lini iliwahi kuwa yao? walinyanganywa lini?
Leo nitakupa changamoto my dear. Kama Islamu ni dini ya Mungu isingekuwa na hofu ya kuchangamana
na imani zingine alafu Binaadamu huru, kwa kadri alivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu uwezo wa kufikiri
na kutafakari, including you Faiza, aweze kuichunguza, na kuipima kisha afanye maamuzi bila kushurutishwa
ama kuifuata ama kuisukumia mbali kabisa. yeyote ajitengae na wenzake ni mchawi.

Kwenye Falsafa ya Survival for the fittest, Inasemekana kwamba ni vile vitu imara peke yake vinaweza kuimiri
changamoto za mabadiriko. sio kwa kukimbia, bali vyenyewe ndio vitabaki na vile weak vitakimbia au kufikwa na
natural death.

Je ninakosea kuichukulia Islam namna hiyo.
 
Umeshawahi kuisikia Biafra aliyoiunga mkono Nyerere? kama hujaisikia isome, halafu uje kutoa mawazo yako kama hujaisikia kaa kimya. " No research no right to speak" - Padre Slaa.
 
Boko haram wako funded na FBI ....na CIA ....
mpango ni kuigawa NIGERIA ili ishindwe kuwa among top five economy ya dunia
by 2050.....
 
Muislam anapodai haki yake ni hatari, M kurusedi anapoiba na kuhamisha mali zote nje ya Nigeria na kuiwacha nchi yenye utajiri wa mafuta ni sahali. Unanshangaza! Ndio hayo, ma nun wanapovaa hijabu ni watu wa Mungu, Mwanamke wa Kiislaam anapovaa hijab, ananyanyaswa!
Hawavai kuficha mabomu kama ninyi....Hawavai kukwepa wanaowajua km ninyi mnavyofanya kwa waume zenu na kupishana nao katika mawindo ili msijulikane.
 
Hao wanaovaa hijab na kujificha kwenda kuuza wanajulikana sana na wamejuwa hijb del ndio maana wanfanya hivyo Khusu ma nun, naona hujui scandals za, soma kidogo hapa: Catholic doctors stand by bishop in nun abortion scandal | Irish News | IrishCentral

Halafu tazama na hii, tena usirudie kusema hivyo, hizi scandals za ma nun ziko nyingi sana, kuliko unavyofikiria:

[video=youtube_share;_8Ur0LVbLqs]http://youtu.be/_8Ur0LVbLqs[/video]
 
Umeshawahi kuisikia Biafra aliyoiunga mkono Nyerere? kama hujaisikia isome, halafu uje kutoa mawazo yako kama hujaisikia kaa kimya. " No research no right to speak" - Padre Slaa.

Biafra!!! So what? Biafra war was more a tribal war. if there was anyting religious, it was Islam compaining even then.
Naomba ujibu hoja ya msingi, Kwa nini Islamu inalilia kujitenga na Jamii nyingine kila siku? Kwa nini ni kundi lalamishi
kokote liliko duniani? Kwa nini wwaislamu wa Maiduguri wamesahau namna wanavyounganishwa na Historia ya Makabila yao
badala yake wanajiona walivyo wanyenge katika uislamu wao?
 
Nishakuchoka na haya maneno. Kwanza wewe ulikuwa mtoto mdogo enzi hizo!

Nakumbuka nilikuwa shule nabebeshwa kopo la kuzunguka nalo madukani Kariakoo kuomba omba michango ya kusaidia Biafra. Laiti ningekuwa najuwa nnachokifanya kama hii leo basi nisingethubutu kufanya hayo. Ingekuwa naruhusiwa kulaani aliyetuzuga hivyo basi nisingesita kumlaani.
 
Faiza
Katika Jamii ya watu waliostaharabika na wenye hofu juu ya Mungu haiwezekani hata kidogo kujustify
udaiji wa haki kwa kuuwa watu wengine.

Niko tayari kujifunza kutoka kwako, lakini ninachokijua mimi ni kwamba, katika makundi yote duniani
yanayotumia kwa namna moja ama nyingine neno "Mungu" ni Islam peke yake ndio kundi lililo radhi
kuua binaadamu wengine hasa wasiojitambua nalo kwa kigezo cha kudai haki zao.

Ukisikiza madai ya Islamu unakuta kwamba ili yaweze kutekelezeka kwa namna yoyote ile, wanahitaji
kuwa na Geographical bounderies.

Kitu kinachonichanganya ni kwamba, ni kwanini Islamu imeshindwa kuwa na Geographical bounderies
ukilinganisha na Umri wake, wakati vikundi vingine vidogo vidogo tu kama, Tanzania vimeweza kuwa
na very clear bounderies wakati vina umri mdogo sana. why?

Islamu imekuwa ni kama mwiba kwenye nyama popote ilipo. Imekuwa kero.
..............uliona wapi haki inaletwa kwa njia ya Posta?.............. hivi umewahi kuhoji kwanini nchi za Ulaya haswa Marekani, zimejaza majeshi kila mahali Duniani ? Ni uchokozi wa Waislaam ndio unaofanya waweke Base (Al Qaida) kila mahali, Bush alikuwa anawagaia pipi watoto wa Kiiraq( Watu wangapi wameteketea kwa vita ya dhulma ya Iraq) Je huko ndo kuustaarabika !. Hivi Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia ni juu ya Uislaam ! Wake up DUDE !
:rant:
 
Biafra!!! So what? Biafra war was more a tribal war. if there was anyting religious, it was Islam compaining even then.
Naomba ujibu hoja ya msingi, Kwa nini Islamu inalilia kujitenga na Jamii nyingine kila siku? Kwa nini ni kundi lalamishi
kokote liliko duniani? Kwa nini wwaislamu wa Maiduguri wamesahau namna wanavyounganishwa na Historia ya Makabila yao
badala yake wanajiona walivyo wanyenge katika uislamu wao?

Soma hapa ujuwe Biafra war ilikuwa ni ya nini, usikurupuke, ukimaliza uniambie ina tofauti na Boko Haram? zilibadilika ni strategy tu, sababu ni zile zile: The Biafran War, Nigerian History, Nigerian Civil War
 
Hapa niko darasani, ninajifunza kutoka kwako, Msomi na Mjuzi mzuri sana wa Islamu.
Naomba kabla sijapotoka uniweke sawa. Unazifananisha harakati za kina Garang na Harakati za Islam?

Unasema, wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? ni lini iliwahi kuwa yao? walinyanganywa lini?
Leo nitakupa changamoto my dear. Kama Islamu ni dini ya Mungu isingekuwa na hofu ya kuchangamana
na imani zingine alafu Binaadamu huru, kwa kadri alivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu uwezo wa kufikiri
na kutafakari, including you Faiza, aweze kuichunguza, na kuipima kisha afanye maamuzi bila kushurutishwa
ama kuifuata ama kuisukumia mbali kabisa. yeyote ajitengae na wenzake ni mchawi.

Kwenye Falsafa ya Survival for the fittest, Inasemekana kwamba ni vile vitu imara peke yake vinaweza kuimiri
changamoto za mabadiriko. sio kwa kukimbia, bali vyenyewe ndio vitabaki na vile weak vitakimbia au kufikwa na
natural death.

Je ninakosea kuichukulia Islam namna hiyo.
............... kwanza tatizo lako kubwa fikra zako haziko huru ! umejaa propaganda za CNN na CBA na wengineo ! Enzi za Mtume Muhammad S.A.W, wasio Waislaam walikuwa ndio kimbilio lao kwa kuhukumiwa kwa haki na ulinzi !
 
Boko Haram wanazidi kuchachamaa!

Explosion rocks Kaduna army barrack

By Tony Akowe

A heavy explosion has occurred at the Dallet Barrack, headquarters of the 1 Mechanised Division of the Nigerian Army in Kaduna.

Details of the explosion are still sketchy
, but all roads leading to the place has been cordoned off by the army personnel.

The Nation
 
............... kwanza tatizo lako kubwa fikra zako haziko huru ! umejaa propaganda za CNN na CBA na wengineo ! Enzi za Mtume Muhammad S.A.W, wasio Waislaam walikuwa ndio kimbilio lao kwa kuhukumiwa kwa haki na ulinzi !

Hakuna kitu kirahisi kukipangua kama propaganda. Zijibu propaganda zangu.
 
Soma hapa ujuwe Biafra war ilikuwa ni ya nini, usikurupuke, ukimaliza uniambie ina tofauti na Boko Haram? zilibadilika ni strategy tu, sababu ni zile zile: The Biafran War, Nigerian History, Nigerian Civil War

Faiza, Nashukuru kwa hii Link, Ila kwa haraka haraka tu nimekimbilia kwenye executive summary na mwanzoni kabisa nimekuta
kwamba vita hivyo havikuwa na element hata moja inayofanana na issue ya Boko Haram. Nimesoma na

au na wewe haujaisoma hii link my dear.

EXECUTIVE SUMMARY
The Nigerian Civil War broke out on 6 July 1967. The war was the culmination of an uneasy peace and stability that had plagued the Nation from independence in 1960. This situation had its genesis in the geography, history, culture and demography of Nigeria.
The immediate cause of the civil war itself may be identified as the coup and the counter coup of 1966 which altered the political equation and destroyed the fragile trust existing among the major ethnic groups. As a means of holding the country together in the last result, the country was divided into twelve states from the original four regions in May 1967. The former Eastern Region under Lt. Col. Ojukwu saw the act of the creation of states by decree "without consultation" as the last straw, and declared the Region an independent state of "Biafra". The Federal Government in Lagos saw this as an act of secession and illegal. Several meetings were held to resolve the issue peacefully without success. To avoid disintegration of the country, the central government was left with only one choice of bringing back the Region to the main fold by force.

Mwisho wa Vita

Fellow Countrymen,
As you know I was asked to be the officer administering the government of this republIc on the 10th of January, 1970. Since then I know some of you have been waiting to hear a statement from me. Throughout history, injured people have had to result to arms in their self defense where peaceful negotiation have failed. We are no exception. We took up arms because of the sense of insecurity generated in our people by the events of 1966. We have fought in defense of that cause. I am now convinced that a stop must be put to the bloodshed which is going on as a result of the war. I am also convinced that the suffering of our people must be brought to an end. Our people are now disillusioned and those elements of the old regime who have made negotiations and reconciliation impossible have voluntarily removed themselves from our midst. I have, therefore, instructed an orderly disengagement of troops.

I urge on Gen. Gowon, in the name of humanity, to order his troops to pause while an armistice is negotiated in order to avoid the mass suffering caused by the movement of population. We have always believed that our differences with Nigeria should be settled by peaceful negotiation. A delegation of our people is therefore ready to meet representatives of Nigerian Government anywhere to negotiate a peace settlement on the basis of OAU resolution.
 
..............uliona wapi haki inaletwa kwa njia ya Posta?.............. hivi umewahi kuhoji kwanini nchi za Ulaya haswa Marekani, zimejaza majeshi kila mahali Duniani ? Ni uchokozi wa Waislaam ndio unaofanya waweke Base (Al Qaida) kila mahali, Bush alikuwa anawagaia pipi watoto wa Kiiraq( Watu wangapi wameteketea kwa vita ya dhulma ya Iraq) Je huko ndo kuustaarabika !. Hivi Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia ni juu ya Uislaam ! Wake up DUDE !
:rant:

Acha kutoka nje ya mada, sijazungumzia issue za mataifa, na nimekuwa very specific, nazungumzia makundi ya kiimani,
Kwa sababu kwa namna unavyoandika ni kama vile unasema, mbona Marekani iliua wairaq, na Boko haram wana haki
ya kuua yeyote wanayetaka. does this make sense?
l
 
It make sense ! Mpalestina akiuliwa na Cluster Boom ya Myahudi na yeye anavaa mabomu na kujilipua sokoni au kituo cha basi ! Iweje mama yako wewe au mdogo wako awe bora na wa wengine ni takataka ! Any struggle for rights, justice and freedom has the price to pay. Uislaam unapinga 'kuonea' au 'kuonewa' kudhulumu au kukubali kudhulumiwa. Ukikubali katika kila kilo moja ya dhahabu upewe mrahaba wa 3% hiyo ni shida yako.
 
According to me, so soon uislam kwishney. Tutakuwa tunaongelea wakristo watesaji na si waislam tena. islam is just a puppet to drive away the truth and its work now is over that's y they destroy it now. I'm just watching the move, where, who next. Luckly, Tz has minority muslim so we can't worry be included in the move. Just watch if u can't believe.
 
It make sense ! Mpalestina akiuliwa na Cluster Boom ya Myahudi na yeye anavaa mabomu na kujilipua sokoni au kituo cha basi ! Iweje mama yako wewe au mdogo wako awe bora na wa wengine ni takataka ! Any struggle for rights, justice and freedom has the price to pay. Uislaam unapinga 'kuonea' au 'kuonewa' kudhulumu au kukubali kudhulumiwa. Ukikubali katika kila kilo moja ya dhahabu upewe mrahaba wa 3% hiyo ni shida yako.

Safi sana Ally, sasa tunaelekea kwenye Ukweli, Nakubaliana na wewe.
It is the spirit of God only which will never pay evil for evil, sisi Binaadamu hatutegemewi kushtuka hata kidogo pale tunapolipiziana visasi, hata mimi, in the spirit of human, Nakubali, sishangai na ninaunga mkono harakati za kundi lolote lile linalolipiza kisasi
ili kuleta heshima, kundi lolote lile linalotumia nguvu ili kujilinda na wabaya wake ama linalopigania kujipatia au kujirudishia haki zake.
Nawaunga mkono Palestina dhidi ya Israel, Mpaka Kesho sikubaliani na namna Mohamed Ghadafi alivyoondolewa Madarakani, na ninaomba nikuambie kwamba, nawaunga mkono waislamu katika harakati zao zozote za kudai haki zao lakini nikifikia hapa na mimi naomba nikubaliwe hoja yangu.

Kwamba, Haiwezekani hata kidogo, Mwenyezi Mungu akataka Imani yake isambae, ikubalike na wala isiharibike kwa kuuwa watu
wengine, imani hiyo haiwezi kuwa ya Mwenyezi Mungu.I mean Islam must have nothing to do with God. Nothing at all. May be some other gods
 
Mkuu unanipa burudani jinsi unavyo wachalenji hawa wana wa Allah
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom