Body of Lies ni bomba kuliko Quantum of Solace

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Nimeziangalia filamu hizi mbili na kuzilinganisha na nimefurahishwa zaidi ya Body of Lies kuliko Quantum of Solace.
Kilichonivutia ni kuona kuwa matukio ya kwenye Body of Lies yanaendana zaidi ya mtiririko wa hadithi kuliko ilivyo katika Quantum of Solace
 
Ila kuielewa vizuri Quantum of Solace inabidi uangalie Casino Royale vile vile...ila all in all it still sucks....I guess kwa sababu ndio the beginning of Bond....!!!
 
Nimeziangalia filamu hizi mbili na kuzilinganisha na nimefurahishwa zaidi ya Body of Lies kuliko Quantum of Solace.
Kilichonivutia ni kuona kuwa matukio ya kwenye Body of Lies yanaendana zaidi ya mtiririko wa hadithi kuliko ilivyo katika Quantum of Solace

Huo ni ukwei usiofichika, lakini nilishangaa haikufanya vizuri kwenye box office kama nilivyotegemea. Kuna uwezekano labda DVD zake zitakapotoka itafanya vizuri sana.
 
Huo ni ukwei usiofichika, lakini nilishangaa haikufanya vizuri kwenye box office kama nilivyotegemea. Kuna uwezekano labda DVD zake zitakapotoka itafanya vizuri sana.

I think that Body of Lies, suffered at the box office because it was released too close to Quantum and because of its global appeal as trademark, James Bond did better. But all in all the acting was really superior in Body of Lies, and the story was really well written and plot intricate enough to keep you hooked. Unfortunately Quantum imekuwa kama series, hata ilivyoisha hii Quantum kutakuwa na mwendelezo wake...
 
Quantum is a good movie but its not Bond! Bond was about the gadgets and the cheesy lines "Bond, James Bond" this is completely different. Body of lies was def better but not too great.
 
Kama alivyosema Icadon, tukumbuke kwamba Quantum of Solace na Casino Royale nd'o Bond za mwanzo kabla zile walizocheza Roger Moore na Sean Connery. So the gizmos might not be as expected.Watu wanadhani kwa vile simetoka last year na this year basi they should have been the bomb, but the converse is true.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom