Bodi ya TANESCO yaamua kumtimua kazi Mhando!

Ni uamuzi sahihi! kinachofuata afunguliwe mashtaka! Bodi ya tanesco ivunjwe mara moja! watu waombe hizo post.
 
kuna immediate cause yoyote au nini hasa sababu ya kum fire bw. william muhando, na je ndio tanesco kitaeleweka bila mhando? na kama ana tuhuma je ni lini atfikishwa kortini???
 
taarifa+kwa+umma+001.jpg


ni uamuzi rasmi wa bodi ya tanesco baada ya kimya cha muda mrefu







dah
kwa maana kwamba hakuna hatua zozote za ziada atazochukuliwa??
Yan aachishwe kazi then iwe basi bila mkondo wa sheria kuchukua nafas yake ya kumtia hatiani kwa kifungo ama kurejesha gharama na hasara alizozisababisha??
Sitak kuamini haya nayofikiria,,daah
 
Kumwachisha kazi hakuna tofauti na kumstaafisha maana atalipwa haki zake zote. Uamuzi wa haki bodi ingemfukuza na kuamuru afunguliwe mashtaka
 
Safi sana Prof Muhongo,Fagia takataka zote na uozo hapo TANESCO!Walilifanya shirika kuwa kama kampuni yao!Fagia wote!
 
kapewa muda wa kutumia pesa zake za ufisadi??? angefikishwa mahakamani angepata stahili yake.....kama wamemuonea itajulikana huko....ZZK yuko wapi???
 
Yasiishie kwa Mhando tu. Wakurugenzi wabadhirifu ni wengi sana tu. Kwa mfano Ramadhan Dau anatakiwa aondolewe hapo NSSF. List ni ndefu...
 
kutimuliwa sio suruhisho bali sheria ndio inatakiwa ichukue mkondo ili kizazi cha kina mhando kilisicho na haya kwa watanzania kiishie jela mara moja au kufirisiwa kwa mali walizonazo ndio litakuwa fundisho
 
kutimuliwa sio suruhisho bali sheria ndio inatakiwa ichukue mkondo ili kizazi cha kina mhando kilisicho na haya kwa watanzania kiishie jela mara moja au kufirisiwa kwa mali walizonazo ndio litakuwa fundisho

kwa serikali dhaifu hii inakuwa ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom