Bodi ya mkopo yatoa batch mpya ya wanafunzi waliokosa mkopo

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Hatimae bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu HESLB wametoa upya majina ya wanafunzi wa elimu ya juu wa mwaka 2011/2012 waliokosa mikopo hapo awali kutokana na sababu mbalimbali. Pamoja na list iyo kutoka japa jana jioni list iyo imecover asilimia ndogo sana ya jumla ya wanafunzi wote waliokosa mkopo kwa mwaka huu. majina yaliotolea na machache mno kulinganisha na idadi kamili ya wanafunzi waliokosa mkopo.. Fatilia habari hii katika website ya bodi
 
Siku nyingine uweke Link ya hiyo website unayo lenga

Welcome to HESLB

Back
Top Bottom