Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,799
Mimi nimemaliza chuo hivi karibuni lakini sina mpango wa kulipa mpaka hapo watuhumiwa wa ufisadi watakapowajibishwa.Mpaka hapo viongozi waandamizi wa serikali watakapo tumia vizuri rasilimali za Taifa. Kwa mfano kulipia maji,umeme na huduma nyingine muhimu.Wafanyabiashara wakubwa watakapoliapa kodi n.k mapaka hapo serikali itakavyoweza kukusanya kodi ipasavyo otherwise silipi ng'o na sijui watanipatia wapi.