Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

Kulala lazima umesema wewe!! pia kukesha mimi kwangu sio jambo la kushangaza ni kawaida tu, sa ka vp lala tu mkuu

Man NingaR una hasira na haya madude kinoma mkuu bt 4 real HESLB has to satsify our curiousity and the time is tonight.
 
Last edited by a moderator:
Man NingaR una hasira na haya madude kinoma mkuu bt 4 real HESLB has to satsify our curiousity and the time is tonight.

Wale ja
aa hawatabiriki unaweza shangaa tukakesha mpaka morning hamna kitu
 
Last edited by a moderator:
Nimemuona mkurugenzi wa bodi ya mikopo kupitia taarifa ya habari Chanel 10 akitangaza idadi ya wanafunzi ambao wamewapa mkopo na kusisitiza wanafunzi watembelee websit ya bodi ili waone % zao walizopata.bt binafsi nimeingia kwenye websit ya bodi sijaona kitu.Nadhani watakuwa wanarekebisha kitu flan.

mhh!kichwa kinauma..
 
Computer-Addiction-Gone-Too-Far-3.jpg
 
Idadi ya waliopata ni 33,050. Idadi imeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, vigezo walivyotumia zile priority, yatima, single parent, walemavu mzazi au mwanafunzi, direct from form 6, na shule ulizosoma. Pia kwa takwimu idadi ya wavulana waliopata ni asilimia 60 na wasichana ni 40. Ahsanteni nadhani kesho mambo hadharani.

hujawah kubak nyuma mkuu!
 
jamani NingaR,ze dudu nk mkeshe ila wakiweka tu na nyie myatupie humu. Mi game ikisha huku bernabeu nalala,nikiamka asubuhi break ya kwanza jf.
 
Last edited by a moderator:
Jamani heslb co! Mi nahisi kuna watu humu wameshajipatia degree za presha! Mi mwenyewe nahisi nna diploma saa hivi!
 
Now heslb;
we have 237 visitors online(including me) and 8 bots!
Hivi bots ni nini jamani?
 
Kwa mtindo huu kama kweli wanafunzi zaidi ya 4000 wamekosa mikopo ina maana watu wataweza kweli kuwalipia wanafunzi vyuoni? Hebu fikiria, mkopo hakuna, hostel hakuna afu unategemea wanadada wacjiuze ??
Nahisi kwa wetu huu ,,,, wa dada poa ( si kama nawatukana au kuwakashifu) nahisi watakuwa wengi mno!!
 
Wakubwa fanyeni kusubir wakiweka muya2pie jf nimechoka kichwa kizito xana man city wameniangusha mbaya,
 
Back
Top Bottom