Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Nimemuona mkurugenzi wa bodi ya mikopo kupitia taarifa ya habari Chanel 10 akitangaza idadi ya wanafunzi ambao wamewapa mkopo na kusisitiza wanafunzi watembelee websit ya bodi ili waone % zao walizopata.bt binafsi nimeingia kwenye websit ya bodi sijaona kitu.Nadhani watakuwa wanarekebisha kitu flan.
 
ni kweli nami nimesikia kupitia chanel 10 ila nimeingia websit ya heslb hamna kitu hawa jamaa hawajajipanga ngoja tusubiri.
 
Nadhsni uliyeleta hii thread ni msomi na ndio maana unafuatilia mambo ya loan board. Ebu angalia hiyo heading. BRECKING NEWZ ndio nini?

sijajua kitu gani ambacho kimekuchanganya,vinginevyo unataka kujifurahisha tu.
 
Idadi ya waliopata ni 33,050. Idadi imeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, vigezo walivyotumia zile priority, yatima, single parent, walemavu mzazi au mwanafunzi, direct from form 6, na shule ulizosoma. Pia kwa takwimu idadi ya wavulana waliopata ni asilimia 60 na wasichana ni 40. Ahsanteni nadhani kesho mambo hadharani.
 
50%/50% yaani mgu nje mgu ndani.
 
Kama kawaida ni mwendo wa ku refresh page tu, hata iwe mpaka kesho jioni ntafika tu hamna shida
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom