Bodi ya mikopo yatafuna hela za wanafunzi

CRITO

Member
Aug 30, 2012
58
58
attachment.php


wametoa financial statement inayoonekana wanamdai milioni 7 wakati hadaiwi kiasi hicho.wameiba hela zake,amenyimwa vyeti na bado hajapata ajira.
 

Attachments

  • SAM_5046.JPG
    SAM_5046.JPG
    80.4 KB · Views: 743
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ni kichaka cha wezi tuuu, sijui kwa nini mkaguzi wa hesabu za serikali hakagui pale!
 
ila yote kwa yote....tunafurahia sana na tuna hamu sana na loan!!! ivi tunajua kuna kulipa kweli??? je yaliyomkuta huyo jamaa yakikukuta itakuaje???? ila ndo hamna jinsi hamna loni hamna chuo!!! mungu bariki tz mungu walaani mafisadi hasa wa loan board!!
 
"wametoa financial statement inayoonekana wanamdai milioni 7 wakati hadaiwi kiasi hicho" unamaana alichukua mkopo sio? na je fedha halali anadaiwa kiasi gani
 
Kwanini hajaariwa mtu aliyesoma B.A Ed? Wahitimu wa 2011 si wameajiriwa wote?
 
kiasi anachodaiwa kwenye hiyo mil 7 toa mil 2 ya ada ya mwaka wa kwanza na wa pili.ambazo hazikulipwa.kuhusu kuajiriwa,jina lake lilitoka kama wengine,na alipangiwa na wizara akaripoti bukoba vijijini,akaenda kuripoti,ila mkurugenzi akakataa kumpangia kituo hadi awe na transcript,ambazo zilikuwa bado kutolewa wakati huo.alipoomba chuoni provisional result,ndipo akaambiwa habari za deni na kunyimwa,so bkb vijijini wakasema hawawezi kumpangia kituo.juu ya sarakasi za ajira hii nalo lina utata wake pia tutamwaga hapa wakati mwingine,bado tunatafuta vielelezo
 
Back
Top Bottom