BODI ya mikopo hufungua mwezi wa tano na mwisho mwezi wa sita na baada ya uruhusu watu kuomba tena ila hii ya kuomba tena usiitarajie huwa ni bahati nasibu kwan muda wenyewe huwa ni miez miwili tuNa wanafungua baada ya muda gani kwa sababu ya kuuliza hivyo ni kwa sababu cheti changu cha kuzaliwa ndio kinashughulikiwa saivi hadi tarehe sita mwezi wa tano sasa sijui kitakuwa tayari ndani ya muda au vipi
Mwaka jana walifungua maombi ya mkopo mwezi wa nne tarehe 25 kama sijakosea.
Huwa inafunguliwa kabla form six kuanza mitihani yao ya taifa.
Ili wale walioahirisha mwaka plus madiploma waanze kuaply mikopo.
Mwaka jana walifungua maombi ya mkopo mwezi wa nne tarehe 25 kama sijakosea.
Huwa inafunguliwa kabla form six kuanza mitihani yao ya taifa.
Ili wale walioahirisha mwaka plus madiploma waanze kuaply mikopo.
Pia jitahidi kuwa unaingia online mara kwa mara(kwenye website za tcu na heslb).Baada ya TCU kufungua maombi,,,,
Ni kweli. Mambo bado, Itakua 'Guidelines & Criteria' zinazosimamia utoaji mikopo kwa mwaka huu hazijakamilika. Usipozisoma hizo, umepotea. Ngoja tuwasubiri!Mbona ukiingia heslb hapo pakulegister pamefungwa ndo nn
Safi sana. Cheti cha kifo au kibali cha mazishi kinachotolewa na Serikali!Huwa inafunguliwa kbl ya Form Six kumaliza mitihani na huchukua kipindi cha miezi miwili maombi kutumwa. Pengine kuna utaratibu unaendelea hivyo usiogope utafanya mambo siku si nyingi.
JIHAKIKISHIE YAFUATAYO KABLA YA KUANZA KUOMBA MKOPO
1. Sh. 30,000 kwa ajili ya maombi
2. Uwe na uhakika wa internet
3. Kama huna cheti cha kuzaliwa anza kukihangaikia (namba ya cheti zinahitajika)
4. Namba za kitambulisho za mdhamini wako
5. Kama wazazi wako wamefariki au wana ulemavu wowote,andaa ripoti ya daktari au cheti cha kifo
Mwisho jiandae kuzurura kwa wenyeviti wako wasaini kisha uende mahakamani kuapa.
Ni kweli. Mambo bado, Itakua 'Guidelines & Criteria' zinazosimamia utoaji mikopo kwa mwaka huu hazijakamilika. Usipozisoma hizo, umepotea. Ngoja tuwasubiri!
Bibi Mikopo samahani. Kuna Jamaa angu aliomba mkopo mwaka Jana na kwa bahati mbaya au nzuri akapewa boom pekee. Alisahau kuappeal. Je,atatakiwa aombe tena au atasubiri muda wa kuappeal?Safi sana. Cheti cha kifo au kibali cha mazishi kinachotolewa na Serikali!
Wanajitahidi sana siku hizi! Hata emails wanajibu! Poa...Uhakika jaman nmewauliza kupitia email yao wamenijibu bado tusubir watatutangazia sio mda so relax enjoy
Duh. Ninavyofahamu hilo unaloita boom na lo ni mkopo: Kimsingi mkopo unatolewa kwa items zifuatazo; Meals and Accommodation charges; Books and Stationery expenses; Special Faculty Requirement expenses; Field Practical Training expenses; Research expenses; na Tuition Fees. Kama status yake imebadilika, tofauti na ilivyokuwa wakati anaomba na kupewa alichopewa, basi awasilishe wakati wa appeal. Otherwise, ninavyojua akiappeal kwa sababu zilezile, atakosa. CheersBibi Mikopo samahani. Kuna Jamaa angu aliomba mkopo mwaka Jana na kwa bahati mbaya au nzuri akapewa boom pekee. Alisahau kuappeal. Je,atatakiwa aombe tena au atasubiri muda wa kuappeal?