Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

Innoexp

Member
Sep 24, 2011
9
0
Hapo jana tovuti ya heslb wametoa majina mapya ya waliopata mikopo yacyozidi mia 2 kwa chuo kimoja,
HONGERA KWA WANASCIENC MLIOPATA
Nasema hivi nkimaanisha kama wewe ni facult za social scienc na biashara ucangaike kutafuta jina lako maana hautalipata na c kwamba limesahaulika lah hasha,ila jbu unalo.,
Kwa mtazamo wangu cjaona sababu nyingne ilyowafnya bod kutoa majina haya machache namna hii tena kwa facult chache ila 2 kuwatenganisha na kuwapunguza kasi wale waliokua mstar wa mbele katka kudai mikopo yao,
Sasa jamani ivi wewe ambaye umepata mkopo sasa iv ni kwel utakaa kmya sasa na kuwaacha wenzako uliokua nao katka mbio iz za kusaka mkopo et 2 kwa sababu we co mhanga tena,???kama jbu lako ni hapana (genuine) bs kwel 2endelee kufatlia ishu hi mpaka ktakapo eleweka pale wizara ya elimu,
NIC DAY 2 U ALL
 
Mkubwa hayo majina yanapatikana wapi? Maana nilimuona mtu ana page moja tu na nikiingia site ya heslb hamna mabadiliko ama wameweka sa ngapi?
 
Hapo jana tovuti ya heslb wametoa majina mapya ya waliopata mikopo yacyozidi mia 2 kwa chuo kimoja,
HONGERA KWA WANASCIENC MLIOPATA
Nasema hivi nkimaanisha kama wewe ni facult za social scienc na biashara ucangaike kutafuta jina lako maana hautalipata na c kwamba limesahaulika lah hasha,ila jbu unalo.,
Kwa mtazamo wangu cjaona sababu nyingne ilyowafnya bod kutoa majina haya machache namna hii tena kwa facult chache ila 2 kuwatenganisha na kuwapunguza kasi wale waliokua mstar wa mbele katka kudai mikopo yao,
Sasa jamani ivi wewe ambaye umepata mkopo sasa iv ni kwel utakaa kmya sasa na kuwaacha wenzako uliokua nao katka mbio iz za kusaka mkopo et 2 kwa sababu we co mhanga tena,???kama jbu lako ni hapana (genuine) bs kwel 2endelee kufatlia ishu hi mpaka ktakapo eleweka pale wizara ya elimu,
NIC DAY 2 U ALL
hapo kwenye red usipotoshe watu Innoexp,hayo majina yaliyotoka sasa ni wale first year students who were previously not allocated loans due to the following reasons:
  1. System coding problems.
  2. Differing index numbers between TCU admission list and OLAS list.
  3. Differing names.
  4. Different interpretation of Technical and Vocational Education Training (TVET).Wapo watu wa LLB,BAPRA,BAJ...sijaona upendeleo wowote hapo zaidi ya hizo sababu 4 walizotoa.Tusipotoshe watu na kukatishana matumaini bila kufikiria vizuri wakuu.!Inaonyeha watatoa batch nyingine soon maana wale wa due to budget exhaustion sijaona hapo!Tunachezewa ka mchezo hapo wakuu
 
kundi lilobaki ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote baadha wamepata. hata wa bajet wamo
 
Wapo watakaoöna napotosha mfano halic ukiwa ni ww,lakn kwa great thnkerz wataona najarbu kuamsha akil na kuwaconsciatize w2 kujua ni nn knaendlea,ebu tafuta proportn ya ao kina BA afu uone ni mim naepotosha au n ww unaejustfy 'kipao mbele',iv from the first alocation unaona kuna equality ndugu??
JE CODING ERROR,DIFFERENC IN TCU N HESLB NAMES and wateva,hiv vyote majorit imetoka kwa education and scienc?
 
kundi lilobaki ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote baadha wamepata. hata wa bajet wamo

Mbona bodi hawataki kutoa maelezo kwa kundi hili watuambie basi lini walitupa mkopo na chuo kipi. Mana wanatuchanganya.
Kama yupo mhanga mwenzangu wa kundi hili au anae fahamu naomba anipe maelezo,nijue nifanye nn.
 
nilkosea, kumbe yuko jamaa yangu tulikua wote kundi hili yeye amepata. jambo la msing alilofanya huyu jamaa alipeleka barua ya malalamiko mapema.
 
hyo barua ilikua na maelezo gan,wasaidie wenzio wajue wapi pa kuanzia?
 
inategemea na tatizo la m2, lkn kwa PRIVIOUS LOANEES, inahitajika barua kutoka chuo alichopata awali yenye uthibitisho wa kurudishwa kwa mkopo kupitia hundi husika
 
kuna dogo yuko udom ye almalza 4m 6 mwaka jana,akapewa 0% ya mkopo,akashndwa kuendelea na masomo,leo hii nae anaambiwa ni previous loanees na wkt hajalamba hata sent tano ya bodi,m2 kama huyu afanyaje sasa?
 
inategemea na tatizo la m2, lkn kwa PRIVIOUS LOANEES, inahitajika barua kutoka chuo alichopata awali yenye uthibitisho wa kurudishwa kwa mkopo kupitia hundi husika

Hii ndo shida ya nchi hii kila kitu ni Dar ss wamikoani tunaangukia pua. Sasa utajuaje kama mkopo waliupeleka chuo gani na kwa asilimia ngapi na kama hicho chuo waliurudisha bila ya bodi kutoa maelezo. Mm nashauri kwa mliopo huko jijini mtusaidie bodi watoe table itakayoonyesha mwaka,kiasi cha mkopo na chuo waliopeleka ili tuweze kufuatilia. Isijekuwa huu nimchezo mchafu wa bodi na vyuo kula hela zamikopo wakati wahusika hawajajiunga na vyuo vyao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom