Wanafunzi waliomaliza mwaka wa tatu ktk mwaka wa masomo 2010/11 ktk chuo kikuu cha dodoma na waliokuwa wanalipiwa ada na bodi ya mkopo hatimaye wamenyimwa vyeti vyao kwa maelezo kuwa wanadaiwa ada ambayo bodi ilitakiwa kuwalipia na hata hivyo wengi wa wanafunzi hao walikuwa wakisaini ada zilizokuwa zinatumwa na haieleweki tatizo nn hata hivyo wahasibu husika ktk kitivo cha lugha na sayansi jamii wanadai kuwa bodi hawakulipa hela.kesho naenda kwenye ofisi ndogo ya bodi huku dodoma then nitawajuza.source mm mwenyewe