VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Tangu juma lililopita,mtandao wenu haukubali kufanya kazi ipasayo. Kazi ya kusajili wakata rufaa waliokosa mikopo kwa mara ya kwanza. Sasa hawa wanafunzi 'wataapilije'? Acheni upuuzi wenu...muwe serious na mambo yenu...