Bodi ya mikopo kulikoni mna ubaguzi

Kayabwe

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
355
51
wanafunzi wa Jordan-Moro walienda field kabla ya wa UDS zaidi ya wiki mbili.Cha kushangaza hatujapata pesa ya field lakini UDSM wamepata.Kwanini?
 
Nguvu ya umma iliyopo UDSM. Serikali hii ni dhaifu, bila shinikizo haifanyi kitu
 
Udsm kuna nguvu ya umma.asa nyie mnajifanya walokole wataacha kuwadharau!
 
Poleni mi nimesahau ata tarehe niliyoingiziwa,uenda tatzo lipo apo chuon kwenu na serikali yenu ya wanafunzi kwa kuto kufatilia kwa ukaribu zaid swala hili.
 
Back
Top Bottom