Bodi ya mikopo imetuokoa wanyonge

Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili zetu tunaishia division three wakati wenzetu watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri, tuition lukuki na kuiba mitihani wanapata wani halafu wanatesa na mikopo asilimia mia, wakifika vyuoni wanatanua tu. Sasa Bodi imewakomesha, hakuna wani wala nini, kama babako tajiri no Loan. Hureeee Bodi ya mikopo kazeni uzi.

na unakiri kwamba ww ni mnyonge!! ngoja huko chuo kama utakatisha semester ya kwanza... dogo umekiabisha sana chuo ulichopangiwa.. ebu futa upimbi wako hapo juu alafu upige goti umuombe Mungu wako akusamehe

Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili zetu tunaishia division three wakati wenzetu watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri, tuition lukuki na kuiba mitihani wanapata wani halafu wanatesa na mikopo asilimia mia, wakifika vyuoni wanatanua tu. Sasa Bodi imewakomesha, hakuna wani wala nini, kama babako tajiri no Loan. Hureeee Bodi ya mikopo kazeni uzi.

hapo haujafikiria vzur sana,mbona wengne wazaz hawana uwezo na 2lisomeshwa na wafadhli ila hatujapata mkopo?? Wewe na serikali ya sisiem mnaakili sawa 2.

chuo utadisko wewe maana akili yako fupi. Acha ubinafsi wewe umaskini si umejitakia mwenyewe. Mimi ni mtoto wa maskini sikusoma tuition na nilipata one kote,

Hawa watoto wa wanyonge ndio wale ambao wakipata mkopo wanachanganyikiwa.. Huyu jamaa pimbi sana. Ngoja chuoni uone kama hawata ku......! Angalia ndugu yangu.

Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili zetu tunaishia division three wakati wenzetu watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri, tuition lukuki na kuiba mitihani wanapata wani halafu wanatesa na mikopo asilimia mia, wakifika vyuoni wanatanua tu. Sasa Bodi imewakomesha, hakuna wani wala nini, kama babako tajiri no Loan. Hureeee Bodi ya mikopo kazeni uzi.

Kijana pole sana,naamini siku moja utakuwa na uwezo mkubwa wa kuang'amua mambo na utajilaumu kwa post hii.

1. Kuishukuru bodi ya mikopo inaonesha ulivyo na utegemezi wa mawazo. Ni jukumu la serikali kuhakikisha unapata mkopo hivyo kupata kwakwo na wengine kukosa usione kama bahati, ni haki yako. Na wengine wana haki na wajibu wa kudai mpaka wapate haki hiyo

2. Kusema vigezo vilivyotumika vimewaokoa wanyonge si kweli, bahati mbaya unaoweza kuwaita wanyonge wezio wamekosa. Rejea taarifa ya Bodi (waliokidhi vigezo ila hakuna fedha).

3. Kwamba watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri ni kweli. Kwamba wanaiba mitihani na kupata one ni dhana potofu. Huna ushahidi kuthibitisha hoja yako na naamini huenda uliwahi kusikia "eti..." na si kwamba ulishuhudia. Si vyema kudharau mafanikio ya wenzako

4. Kwamba wakifika vyuoni wanatanua tu, si kweli. Kwanza umejauaje? maana hujawahi kusoma huko na kama uliambiwa huenda ulipewa taarifa potofu. Chuo kikuu sio sehemu ya mtu kutanua tu, tena kwa mtu asiye na uwezo darasani. Kama wanatanua na wanafaulu basi hao sio viraza kama unavyo wafikilia. Katika lugha nyingine hizo one ni za uhakika.

Mdogo wangu jaribu kuachana na mawazo ya umimi. mawazo ya kwa vile nimepata wengine watajiju. Dunia haiendi hivyo, serikali inaweza kubadili sera na ikakuumiza ukiwa hata hujamaliza mwaka wa kwanza wa masomo (kumbuka iliwahi kutokea). Pia unaweza kudisco ukalazimika kuomba upya mkopo, yakakukuta.

Be careful with what you say especially in this period where thousands of sons and daughters of this country have lost hope and don't know what their destiny will be. Tunahitaji kuwatia moyo na si kuwadhihaki

wengi wa watoto wa maskini wamekosa, pia wamesoma nami St. Kayumba's na nina ushahidi wao. Kusoma government sio guarantee ya kupata mkopo. Sema tu yatupasa kumshukuru Mungu kwa tuliopata ila tutafute alternative ya kuwasaidia waliokosa, mf, kama umepata taarifa za private sponsorship za makampuni unazileta huku na si kuwa-accuse waliokosa

Naona ni furaha ya kupata mkopo iyo!
Ngoja siku iyo loan board itakapochelewesha boom ndo utaona uzuri na ubaya wao!

Kijana pole sana,naamini siku moja utakuwa na uwezo mkubwa wa kuang'amua mambo na utajilaumu kwa post hii.

1. Kuishukuru bodi ya mikopo inaonesha ulivyo na utegemezi wa mawazo. Ni jukumu la serikali kuhakikisha unapata mkopo hivyo kupata kwakwo na wengine kukosa usione kama bahati, ni haki yako. Na wengine wana haki na wajibu wa kudai mpaka wapate haki hiyo

2. Kusema vigezo vilivyotumika vimewaokoa wanyonge si kweli, bahati mbaya unaoweza kuwaita wanyonge wezio wamekosa. Rejea taarifa ya Bodi (waliokidhi vigezo ila hakuna fedha).

3. Kwamba watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri ni kweli. Kwamba wanaiba mitihani na kupata one ni dhana potofu. Huna ushahidi kuthibitisha hoja yako na naamini huenda uliwahi kusikia "eti..." na si kwamba ulishuhudia. Si vyema kudharau mafanikio ya wenzako

4. Kwamba wakifika vyuoni wanatanua tu, si kweli. Kwanza umejauaje? maana hujawahi kusoma huko na kama uliambiwa huenda ulipewa taarifa potofu. Chuo kikuu sio sehemu ya mtu kutanua tu, tena kwa mtu asiye na uwezo darasani. Kama wanatanua na wanafaulu basi hao sio viraza kama unavyo wafikilia. Katika lugha nyingine hizo one ni za uhakika.

Mdogo wangu jaribu kuachana na mawazo ya umimi. mawazo ya kwa vile nimepata wengine watajiju. Dunia haiendi hivyo, serikali inaweza kubadili sera na ikakuumiza ukiwa hata hujamaliza mwaka wa kwanza wa masomo (kumbuka iliwahi kutokea). Pia unaweza kudisco ukalazimika kuomba upya mkopo, yakakukuta.

Be careful with what you say especially in this period where thousands of sons and daughters of this country have lost hope and don't know what their destiny will be. Tunahitaji kuwatia moyo na si kuwadhihaki

iliwahi kutokea mwaka 2009 hyo mkuu,me nligonga dv 1 yangu bt cha kushangaza hadi naenda chuon nlikua cna mkopo,wkt huo huo washkaj kibao walikua na dv 3 zao wakawa wamelambwa mkopo,dah!huez amin 2mefka chuon,bodi ikasema vyuo viwachambue wale wenye dv 1&2 na wale wenye 3 za scince na education ndo watalamba mkopo..mbona wa2 kibao waliacha chuo,so huyo dogo asiwabeze wenzake,me naamin bodi inaweza ikaamua kufanya chochote ambacho knaweza kumuumza huyo mlugaluga.

Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili zetu tunaishia division three wakati wenzetu watoto wa matajiri wanasoma shule nzuri, tuition lukuki na kuiba mitihani wanapata wani halafu wanatesa na mikopo asilimia mia, wakifika vyuoni wanatanua tu. Sasa Bodi imewakomesha, hakuna wani wala nini, kama babako tajiri no Loan. Hureeee Bodi ya mikopo kazeni uzi.

Wewe ni Kilaza kabisa!!! Unachekelea upuuzu huu!!, Wangapi wanasoma shule za gharama na wanapata div 0, lengo hapa ni kuziulia soko shule za binafsi zinazo invest kwa kuwalipa vizur waalimu na kuwawekea mazingira mazur, kisha wanafundisha kwa moyo. Mantiki ya mpango huu ni kuwa bora tukose wote!!

we malimwengu hujui ulimwengu we nmpuuuuz 2,hapa ndo nakumbuka kwamba ppo graduates bt stil stupid.... yo better thnk b4... kiss ya ass!!!

inamtosha hatorudia tena, kwa mmesahau ule msemo usemao MASKIN AKIPATA ****** YAKE HULIA 'MBWATA!'! ? Sasa ya kwake ndio yanalia hvyo.

we mtoa thread umeniudhi sana tena sana mimi nimekosa mkopo ninavigezo vyote alafu unaongea huo ujinga ungekuwa jiran ningekumeza.sina cha kusema zaid ya KISS YOUR ANUS

Huyo mbahatishaji na nina wasiwasi na matokeo yako kama ni halali au wewe ndo umefanya huo wizi,mbona wenzio wengi tumepata halafu bado tuna uzuni kwa wenzetu waliokosa maana huwezi kumuacha tu mwenzio katika kipindi kama hiki kigumu,huu ndo mda wa kusaidiana kwa namna mbalimbali si kuanza kubedha wenzio,huo mkopo unaushadadia hivyo je ungepata full scholarship ingekuwaje???......au ndo ungesema waliobaki bongo wote vilaza??.....

Back
Top Bottom