Bodi ya Mikopo (HESLB) kuvunjwa

HESLB ina watendaji wabovu na wezi,jamaa zangu waliwapelekea bodi system ya IT inayotumika kutrack mikopo ya wanafunzi toka katika kampuni moja ya USA ambayo ingefungwa ingeweza locate wadaiwa na pia ingetunza kumbukumbu za waombaji wapya kwenye BIOMETRIC system,Kilichotokea HESLB wakachakachua ile technical proposal ya jamaa zangu,wenyewe wafanyakazi wakaunda team na kuifanya hiyo kazi,kilichotokea wakatengeneza na kuinstall system ya ajabu ambayo mbali na kutofanya kazi,inatia hasara kila kukicha!
Wacha waivunje tu maana inajaza matumbo tu ya wachache hapo HESLB
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom