bodi ya mikopo HESLB 2013/2014

Bensonlukwambe

Senior Member
May 7, 2013
110
23
Nime apply mkopo HESLB kwa kufuata procedure zote , lakini kuna option moja ya ku print filled forms ndo inanichanganya , ina maana baada ya ku apply online kuna hard copy zinahitajika tena na kama zinahitajika ni tunazipeleka wapi na procedure gani za kufanya kabla ya kuzipeleka.
cha pili niki click hiyo option inaniambia ni log in wakati nilikua nimesha log in na hata niki log in tena hakuna kinachofanyika.. help please especially with the process to follow after applying online.
 
Samahani mkuu unajua si kila kitu lazima ukilete Huku nway sikulaumu sababu hujaziprint bado
ni hivi ukishaprinnt kuna sehemu za kusign wewe na mzazi wako wenye viti wa mtaa pamoja na kugongewa mihuri na mahakimu au wanasheria

pia unatakiwa uambatanishe na vyeti vyako vta form four form six( hiki chaeza kua chet au result slip) cha kuzaliwa na kitambulisho hiv vinatakiwa viwe certfied mahakamani kua ni kwel vilikua part ya original baada ya hapo unatuma kwa ems kuja dar.... ukiprint hizo form utapata maelezo yote
 
Nime apply mkopo HESLB kwa kufuata procedure zote , lakini kuna option moja ya ku print filled forms ndo inanichanganya , ina maana baada ya ku apply online kuna hard copy zinahitajika tena na kama zinahitajika ni tunazipeleka wapi na procedure gani za kufanya kabla ya kuzipeleka.
cha pili niki click hiyo option inaniambia ni log in wakati nilikua nimesha log in na hata niki log in tena hakuna kinachofanyika.. help please especially with the process to follow after applying online.

unapobonyeza option ya print,unakua na printer kwa pc?? Je umebadili browser unayotumia? Umeclear cookies? Nijuavyo,hata net ikizengua,pindi ukilog in utaendelezea pale pale ulipoishia.. Cjakuelewa ulivosema @hakuna kinachofanyika
 
Ona sasa! Hii inaonesha watu wengi hawajifunzi kufanya mambo kwa umakini. Mtu anashindwa kufungua website na kusoma taarifa zinazohitajika pamoja na maelezo,anakuja kuuliza humu jf! Huu ni uvivu wa kusoma na kufikiri. Jamaa wamekuwekea link yao ya www.olas.heslb.go.tz ili uweze kuona vitu vinavyohitajika lakini wewe unakurupuka kujaza bila kusoma maelezo yaliyopo hapo. Kazi kwako mdau
 
Back
Top Bottom