Bodi ya mikopo angalieni hili wanafunzi wanateseka

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
naongea hili nikiwa ni mtanzania ninaeshuhudia yanayotokea kwa wanafunzi wa mwenge university tawi la st agustine moshi.wanafunzi wa chuo hiki wamemaliza mtiani wao wa UE na hawajapata pesa yao ya kujikimu iliyopita ya miezi miwili na muda wa kurudi makwao umefika na hawana hela chuo wanawaambia hawajatuma pesa napenda nitoe kauli kama mwananchi wa kawaida nilieguswa na tatizo hili kwani ninaishi karibu na chuo hiki na wanafunzi wanateseka sana kina dada wanajiuza BODI YA MIKOPO KAMA IYO HELA HAMJATOA ITOENI NA KAMA MMETOA TAFADHALI WAAMBIENI WAWAPATIE WANAFUNZI HELA KWANI WANATESEKA SANA NAJUA WATU WA BODI MMO HUMU TAFADHALINI SANA SHUGHULIKIENI HIL
 
Kwanini hawagomi? Unajua hii bodi inashughulikiaga matatizo ya wanaogoma fasta sana. Wenzao wa St. John na Nyerere kigamboni waligoma wakapewa fasta.
 
Back
Top Bottom