Bodaboda na taa za barabarani.

Dan84

Member
Apr 3, 2012
49
24
Hivi hawa jamaa taratibu za kwenye mataa haziwahusu? Manaake, wao huchungulia na kukatisha fasta! Sometime mbele ya trafiki! Tz bana!
 
mimi pia nashangaa,wakat nchi za ulaya na marekan,waendesha pikipiki sheria pia zinawausu,ila africa bodaboda awafat mataa wao uchungulia tu na kuondoka,hii si sawa kabisa ajali za bodaboda ni mbaya sana
 
Ni sheria nyingi hazifuatwi humu nchini ila hiyo ya Bodaboda wanaivunjia barabarani. Huko mitaani sheria nyingi sana zinavunjwa mpaka inakuwa ni kama kawaida. Hiyo ndiyo Tz bana
 
ndio maana wanakua wa kwanza kufika muhimbili MOI ...taa nyekundu yeye anapita...ndio maana boda boda mi sipandi hata kwa dawa
 
Back
Top Bottom