boda boda booo!

zinapatikana wapi ila nina wasiwasi zitaongeza ajali za barabarani hizi
 
sh. ngapi moja
na je mna discount
na speed yake ikoje?

tunauza kwa dola!
discount inaendana na kupunguziwa baadhi ya vipuli kwenye boda boda yako!mfano tunaweza tukatoa tigo, ukachukua ikiwa haina tigo kabisaaa!
 
Back
Top Bottom