Bod ya mikopo Live Chanel 10.

Watu wa second applicant, hawatapata mkopo sababu ela wameshamaliza.
 
Ile ela n ya mwaka mmoja, inajumuisha kila kitu. Chakula,field na fees.
 
Na wanasemaje abt waliokosa? Huku tanesco wame2tenda mkuu
<br />
<br />
wanasema kikapu kimeisha, hakuna tena hela, na aliepata ataendelea kupata mpk anamaliza chuo ila kuna kuappeal, ambapo ukienda chuo kuna taratibu za kufuata.
 
So wamesema ile hela ni ya mwaka mmoja?yani kila mwaka unapewa kiasi kilichoandikwa pale??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom