Boban na Mwaikimba waitwa U 23

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Jamani, Jamani

Gazeti la Mwananchi la leo July 22, 2011 limeripoti kuitwa kwa Gaudance Mwaikimba na Haruna Moshi "Boban" kwenye timu ya U - 23.
Hivi kweli hii mijamaa mi under 23???
 
Jamani, JamaniGazeti la Mwananchi la leo July 22, 2011 limeripoti kuitwa kwa Gaudance Mwaikimba na Haruna Moshi "Boban" kwenye timu ya U - 23.Hivi kweli hii mijamaa mi under 23???
huwa wanaitwa wazoefu wachache kwenye timu ni sawa na bojan alivyocheza U21 kwa spain wakati yeye ana miaka 23..
 
huwa wanaitwa wazoefu wachache kwenye timu ni sawa na bojan alivyocheza U21 kwa spain wakati yeye ana miaka 23..

Kwahiyo hao wawili ndio wazoefu wazuri zaidi Tanzania wa kuisaidia U 23 ya Tanzania?
 
Ahhahaa hata Ngasa aliitwa lkn wakaona noma kumpanga kwenye game....wakumbuke mangungulu kijeba akapiga katoi uwanja kipa hakuionaa kocha akashangaa....ile shuti si ya _U23 hata ck moja........tukatolewa vijeba
 
Dhumuni la kuitwa kwao ni kuangaliwa viwango ili waitwe timu ya wakubwa cos poulsen hakuwahi muona boban uwanjani so anataka ajiridhishe kabla ya kuwaita taifa stars,ingawa mm naona kama kudhalilisha boban,kwann coach mkuu hakuwepo kwenye mashindano ya kagame akaenda kwao anarudi analeta siasa.boban sio wakujaribiwa ni wakuitwa stars bila mizengwe
 
Back
Top Bottom