Boban kufukuzwa kilimanjaro ni kumuonea kabisa!!!alisoma nyakati

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Pengine utaungana nami kuamini kilichofanywa na julio ni kukosa akili
julio kama ulimsoma mapema boban alisoma nyakati mapema kuondoka kwenye
benchi lako na kama ungempa nafasi akueleze yaliomo moyoni ungeiacha hiyo timu
leo ikiingia bila kocha...boban aliona wapuuzi walioko uwanjani na upumbavu wao
jinsi wanavyocheza na baya zaidi ukushugulika nao zaidi akaamua kuingia mitini na kuona
kuliko aone hii aibu ya kufungwa bora akale serengeti baridi pale nje na ndio maana
ameapa kutokanyaga kwenye timu ya taifa kama kocha ni mtanzania

je julio na mkwasa mmesoma nyakati ama bado mnangangania kufia kidondani wapisheni
wazungu waendelee na robo fainali msione aibu jamani
 
Hivi Vuta Bangi kama Boban nalo linapata watetezi humu? Nashangaa kila wakati makocha kumuita timu ya Taifa, inawezekana hata wao akili zao ni kama za Boban.
 
Back
Top Bottom