Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,264
- 105,428
- Thread starter
- #41
Understanding ya Bob Marley kuhusu Mungu na spirituality in general ni challenging.
Alikua akiamini kua "Christ" ni hali ya mtu na wala sio mtu specific. E.g: Wakristu wengi wanaamini Yesu ni Kristo. Yeye anaamini Yesu ni mtu ila alifikia hali ya ukristo kwa Divine transcendence. Mtu wa kawaida pia anaweza fikia hali hio kwa kupitia mafunzo ya Yesu na wengine walio weza kufikia hali hio. Salassie wa Ethiopia ni moja wapo katika watu walio weza kufikia hali hio na kwa hiyo pia ni Kristo na Divine part of him ni Mungu tayari kajitokeza kwa "gamba" la binadam.
God is in Us, we all have the Divine part in us. Ni vigumu kutambua hio Divine part sababu ya mambo ya dinua ila uki concentrate unaweza kugusia hali hio. Kama utashindwa ku-concentrate unaweza kuvuta majani (Bang, msuba) na ikakusaidia kupoteza connexion na vitu vya duniani ukawa in sync na Divine part inside of you.
Kwa kweli sijui kama nimeeleweka maana maneno mengi nimeshindwa kuyasema kwa kiswahili ila kwa kifupi hiyo ndio msingi ya imani ya Bor Marley.
This explanation, in the context of Bob's lyrics and some denominations of Rasta, makes a lot of sense.
Ndiyo maana ame reject maneno ya mhubiri kwamba "great god will come from the sky" (ujio wa pili wa Yesu) kama uongo tu. Basically anasema hata wewe unaweza kuwa Yesu hapa hapa duniani katika line ya "If you kow what life is worth, you will look for yours on earth". You have a riight to live a full life, and not to be subservient to some unseen god in the sky "and now you see the light, stand up for your right".
Watu wengi wanauchukulia wimbo huu kuwa unaishia kuongelea kuhusu political oppression, wich is the easier message to grasp - the oppression of colonialism, neo-colonialism, North/South imbalance etc- lakini wimbo unagusa self emancipation kutoka minyororo iliyo deeper kliko hiyo political oppression, minyororo kama dini na imani ya mungu aliye mbinguni, minyororo ambayo inatumiwa na hao hao wanao oppres watu politically.