BOB MAKANI na uhalisia wa JINA LAKE...

Acheni kupotosha! Iwe anaitwa Bob, Nyanga, Makani, au Mohamedi, mzee wetu amezikwa kwa heshima zote za kiislamu. Anayejua yake zaidi ni Mungu aliyemchukua mbele za haki.
Inna llaah, wainnah illaah rajiunah.
Hiyo sentesi kwenye RED ukiandika kwa kiswahili mungu haikubali? huu siyo utumwa wa lugha ya kiarabu kweli?
 
Mohammed Nyanga Ally

Mkuu mimi nadhani ni Al-haj sheikh Mohamed Nyanga Ally ili tuzidi kumpa umarufu kutokana na jina lake hilo.
lakini cha kunishangaza zaidi yeye wakati wa uhai wake alichagua kuitwa Bob Makani na haja likataa jina hilo. Leo hii
sisi akina Chakubanga tumeshupalia Mohamed ili nini?
Ndugu zangu wakati umefika tuamke tujadili mambo ya tija badala ya blabla....!!!!!
 
Back
Top Bottom