BOB MAKANI na uhalisia wa JINA LAKE...

Nasisitiza: Hayati Bob Makani aliitwa Bob Nyanga Makani. Amesajiliwa hivyo hata kwenye orodha ya Mawakili Tanzania Bara. Acheni porojo,udini na us...e. Ritz unatia aibu. Kweli nawe kilaza. Wewe kama Msomi wa sheria hujui Deed Poll na matumizi yake? Acha zako.Mnaniharibia uzi wangu kwa umagamba wenu.
 
awe Mkatoliki, Muislamu kwangu kwa mtu kama huyu alikuwa muhimu kuliko wale wanaoshadadia udini usioleta tija kwa taifa letu. RIP
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa Mwanzilishi wa CHADEMA hakuwa mkristo, wala hakuwa mchaga. Hivyo kwa mtazamo wangu ni dhahiri kuwa hiki chama sio cha wachaga wala hakifungamani na wakristo kama Magamba walivyopotosha ukweli. Nadhani hiki chama kimempoteza mwana uhamsho mwanzilishi aliyekuwa na uchungu na maisha ya wananchi..RIP Baba wa taifa wa Chadema- MAKANI
 
Kifo cha mwasisi huyu wa CHADEMA kimetuangazia mengi ikiwa na kuwaumbua CCM na porojo zao za CDM ati ni chama kilichoanzishwa na wakristo! Kumbe leo imedhihirika mmoja wa waanzilishi alikuwa mwislamu, tena si wa kutoka kaskazini kama magamba wanavyoeneza. Leo CCM wameumbuka. Bado kidogo tutaanza kusikia eti CDM ni ya wasukuma maana sasa usukumani kumegeuka ngome ya CHADEMA na kama hali itendelea hivi CCM wana kazi kweli kweli 2015. Pole zao.
 
Bob ameshatutangulia mbele ya haki kubishana juu ya jina lake haina maana.MUNGU AMLAZE PEMA.AMIN.
 
haya tumewapata ila kikubwa tumuenzi mzee wetu kwa mazuri aliyotuachia na aliyokuwa anayatetea
 
Haya, jina ni "Mohamed Makani", dini ni "Mkristo, tena Mkatoliki"! Hizi dini watanzania tunavyozishadadia utafikiri tu wasafi kama dini hizo zinavyotutaka! Kila jambo tuantaka kuchomeka udini, mwe!

Muongo, Mzandik.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Spelling kidogo mkuu, ni Ng'hani siyo nghani. Neno Ng'hani kwa kisukuma halina uwingi, hivyo Makani siyo uwingi wa ng'hani hata kidogo. Na hilo neno/jina (Makani) halina maana ya kiburi hata kidogo!
Nyie wote ni wasukuma mikokoteni tu na siyo wa-Sukuma kama kabila. Kisukuma kina wingi wa kila neno ukitaka. Kisukuma kina lahaja za kikanda pia, Mwanza kuna lahaja zaidi ya 6, Shinyanga zaidi ya 4 na Tabora zaidi ya 4 pia. Sasa unabisha nini hapo Salum?
 
R.I.P Bob Makani. Ila tunakoelekea Watanzania Si kuzuri siasa za uongo mbele ya Marehemu. Watu hata Mungu Hawamwogopi tena. Mkama katibu mkuu wa ccm Umetia aibu kubwa na aibu kwa wapenda ukweli
 
Hiyo haizuii sisi kukukumbusha uovu wako na tabia yako mbovu ya kuzusha mambo kwa manufaa ya wanaokutumia kama jalala.

Unajua wewe ni mtoto wa kiume tabia za umbeya sio nzuri usipokuwa makini utaelekea pabaya...kwanza tambua JF sio mali ya Chadema, ni jukwaa huru naona unaletea habari za umbeya tu...kama wewe sio mnafiki ebu weka hiyo thread ambayo nimesema Chadema ni chama cha Wakiristo uzuri JF inahifadhi thread zote ukiweka hiyo thread najitoa JF na usipo weka takuweka katika kundi moja na kina Khadija Kopa.
 
Hawa CCM wanaopotosha na kuzusha mambo ya hovyo wanajua watanzania si wachunguzi na si wadadisi hivo wanatumia udhaifu huu kudanganya kwa maslahi yao. Mi naomba Viongozi wa CDM waweke wazi historia na waanzilishi wa CHADEMA hii itasaidia kukijenga chama. R.I.P Bob Makani
Nilichojifunza hapa ni kuwa Mwanzilishi wa CHADEMA hakuwa mkristo, wala hakuwa mchaga. Hivyo kwa mtazamo wangu ni dhahiri kuwa hiki chama sio cha wachaga wala hakifungamani na wakristo kama Magamba walivyopotosha ukweli. Nadhani hiki chama kimempoteza mwana uhamsho mwanzilishi aliyekuwa na uchungu na maisha ya wananchi..RIP Baba wa taifa wa Chadema- MAKANI
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa Mwanzilishi wa CHADEMA hakuwa mkristo, wala hakuwa mchaga. Hivyo kwa mtazamo wangu ni dhahiri kuwa hiki chama sio cha wachaga wala hakifungamani na wakristo kama Magamba walivyopotosha ukweli. Nadhani hiki chama kimempoteza mwana uhamsho mwanzilishi aliyekuwa na uchungu na maisha ya wananchi..RIP Baba wa taifa wa Chadema- MAKANI

KANYIMBI kama wewe ni mwanachama wa CDM basi unahatarisha uanachama wako. Unataka kusema CDM ina mababa wa Taifa wangapi? Mtei siyo baba wa Taifa wa CDm? Kama Mteio pia ni baba wa Taifa basi at least wapo wawili ukiongeza na Brown watakuwa watatu. Haya weee
 
Last edited by a moderator:

Baba wa taifa wa TLP, CUF, NCCR Mageuzi, ADC, ni kina nan?
 
Last edited by a moderator:
CUF ilianzishwa na james mapalala baadae ccm wakaibatiza kuwa cha waislam.UDINI UKABILA ni mbinu ya kuleta mauaji ya halaiki tanzania ili wao watoroke
 
Back
Top Bottom