BOB MAKANI na uhalisia wa JINA LAKE...

Hivi mbona mnataka kuleta uhuni kwenye majina ya watu sijui kwa nini hamtaki kuliweka jina lake la Mohamed..
Jina la Mohammed lilikoma siku alipoapa na kubadili jina kisheria kwa 'Deed Poll' .Hata kwenye Roll of Advocates, ambapo nawe upo,anaitwa Bob Nyanga Makani.Tazama nambari 131.Hilo ndilo jina lake.
 
Jina la Mohammed lilikoma siku alipoapa na kubadili jina kisheria kwa 'Deed Poll' .Hata kwenye Roll of Advocates, ambapo nawe upo,anaitwa Bob Nyanga Makani.Tazama nambari 131.Hilo ndilo jina lake.

Naomba nikuulize jina lake kamili ni nani? Na ni dini gani?
 
Naomba nikuulize jina lake kamili ni nani? Na ni dini gani?
Haya, jina ni "Mohamed Makani", dini ni "Mkristo, tena Mkatoliki"! Hizi dini watanzania tunavyozishadadia utafikiri tu wasafi kama dini hizo zinavyotutaka! Kila jambo tuantaka kuchomeka udini, mwe!
 
Hili ni fundisho kwa tulio hai, taja jina lako kamili kabla umauti haujakufikia, ili kuondoa utatanishi kwa wananchi,

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
mijadala mingine kama jina Mohamed,ambalo kiukweli halisikiki ni kwamba haina hata tija
 
Haya, jina ni "Mohamed Makani", dini ni "Mkristo, tena Mkatoliki"! Hizi dini watanzania tunavyozishadadia utafikiri tu wasafi kama dini hizo zinavyotutaka! Kila jambo tuantaka kuchomeka udini, mwe!

Mmhhhhh......:shut-mouth: ndugu zangu kama mtu hujui kitu ni bora upite kimya kimya kuliko kuchangia vitu vya uongo!!!!!
 
Hili suala la kuoanisha jina na dini lina uhusiano gani?
Mtoto anaweza kuwa na wazazi wa dini tafauti na kubaki na jina tafauti na dini yake, au anapobadili dini bila kubadili jina.
Mnamkumbuka Tareq Aziz? Kama jina ni dini kwa nini huyu alikuwa mkristo. Aidha nimesoma na jamaa wa Misri na Syria, wenye majina ya Kassim na Malik ambao walikuwa Wakristo? Nionavyo kila kukicha JF tunazidi kulewa udini.
 
Haya, jina ni "Mohamed Makani", dini ni "Mkristo, tena Mkatoliki"! Hizi dini watanzania tunavyozishadadia utafikiri tu wasafi kama dini hizo zinavyotutaka! Kila jambo tuantaka kuchomeka udini, mwe!

Ndugu yangu JF sio sehemu ya porojo kitu kama hujui kitu kaa kimya! Hivi mtoto wa marehemu Bob Makani, Mohamed Makani akisikia hii kauli sidhani kama atajisikia vizuri kweli.
 
Back
Top Bottom