TANZIA Bob Makani afariki dunia

R.I.P Bob Makani
Makani.jpg


RIP Mzee Bob Makani
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi

Amina
 
Poleni sana wana Chadema wote kwa msiba wa kiongozi wenu mstaafu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Tunamshukuru Mungu sana kwa maisha yake na utumishi wake kwa taifa letu. Mungu aifariji familia yake yote, ndugu jamaa na marafiki na kuwatuliza wakati huu wa majonzi makubwa. Namwombea apumzike kwa amani, Amen.
 
Inna Li Llahi wa Inna Illahi Rajiun.

Poleni watoto, ndugu, jamaa na marafiki. Poleni CHADEMA, Poleni CCM, Poleni Taifa.
 
oh that's very sad. Tunakushukuru kwa mchango wako wa hali na mali kwa taifa ili watoto na wajukuu wa taifa hili wawe na maisha bora. Japo safari haijakamilika lakini mizizi umeacha na kwa mapenzi ya mungu tunaamini itakamilika. Pumzika sasa ukijua wana wa taifa hili wanautambua mchango wako. Mwenyezi mungu akupe malazi mema peponi.

Poleni sana wanafamilia.
 
RIP mzee wetu, tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi.....kazi ya Mungu haina makosa!
 
RIP mzee Bob makani. Mungu akupe pumziko la amani.

Poleni ndugu. Jamaa na marafiki. Pia pole kwa wana CDM wote kwa kumpoteza m/kiti mstaafu. Hakika ushauri wake bado ulikuwa unahitajika na chama.
Mungu ametoa, Mungu ametwaa.
 
Poleni familia.

RIP Mzee Mkani.

Mpelekee Mwalimu taarifa jinsi majitu yake yanavyochemka huku. Mjulishe jisi majitu yake yalivyokosa hekima na busara yamebaki na matusi tu. Mwambie hawana sera tena bali kujibu mapigo hata leo wamefanya hivyo. Mtaarifu kile chama ulichoshiriki wewe Makani kukiasisi ndicho tegemeo na tumaini la waTanzania na kimeenea nchi nzima. Mwambie lile lichama lake lilishakufa siku nyingi.

Mpumzike kwa amani wapendwa wetu - AMINA.
 
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi Amina.
 
RIP mzee Bob makani. Mungu akupe pumziko la amani.

Poleni ndugu jamaa na marafiki. Pia poleni wana CDM wote kwa kumpoteza m/kiti mstaafu. Hakika ushauri wake bado ulikuwa unahitajika katika chama.
Mungu ametoa, Mungu ametwaa.
 
Mungu alize mahali pema amen



LAKINI HUU MZIMA UNAWEZA KUINUFAISHA SERIKALI
MAANA SERIKALI YETU INAENDESHWA KWA MISIBA MATUKIO YA AJABU

STAY TUNED MTAONA.......................:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::angry:
 
Back
Top Bottom