Bob Makani alazwa Aghakan

Huyu mzee ni mgonjwa. Pale Karimjee siku ya kumuaga Regia aliripotiwa kuanguka. Hivi "Bob" ni jina lake halisi? Nilidhani anaitwa Robert!
 
Ni hivi Mkuu: mimi najua kuwa Kamanda amelazwa Aghakan ila bado sijui anasumbuliwa na tatizo gani.Lazima niwe mkweli.Kuhusu Mohamed na Bob ni kuwa Kamanda alibadili jina kisheria na kuitwa Bob kutoka Mohamed.Ni hayo tu Mkuu.

kaka kwa taarifa yako Bob Maana yake ni Robert hilo la Mohamed umetoa wapi? kama lipo hongera kwa ufahamu wako unaoujua wewe tu
 
Ugua Pole Mzee wetu, Mpambanaji, Bob Makani. Mungu akupe uponyaji wa Haraka.
 
kaka kwa taarifa yako Bob Maana yake ni Robert hilo la Mohamed umetoa wapi? kama lipo hongera kwa ufahamu wako unaoujua wewe tu

Ni hivi Mkuu: mimi najua kuwa Kamanda amelazwa Aghakan ila bado sijui anasumbuliwa na tatizo gani.Lazima niwe mkweli.Kuhusu Mohamed na Bob ni kuwa Kamanda alibadili jina kisheria na kuitwa Bob kutoka Mohamed.Ni hayo tu Mkuu.
Mkuu mbona Vuta Nkuvute ameeleza vizuri tu kwamba alibadili jina kisheria kutoka Mohamed kwenda Bob hajasema Bob ni Mohamed. Mtu anaruhusiwa kuapa na kubadili kuchukua jina lingine. Robert ni Bob sawa kama ilivyo kwa James = Jacob = Jimmy. Mzee Makani yeye alikuwa akiitwa Bob na wala hajatumia Robert ni sawa tu na watu wanaoitwa Jimmy badala ya James.
 
kuna taarifa kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa chadema,baada ya mzee edwin mtei,mohamed makani(bob makani) amelazwa katika hospitali ya aghakan.mwenye taarifa juu ya kinachomsibu kamanda huyu atujuze.nitakwenda pale kesho kumtakia pole mzee wetu huyu.get well soon kamanda!

sa huna uhakika ,hiyo kesho utaelekea wodi ipi? Au unanhoja taarifa papa hapa jf?
 
Mungu atamsaidia mzee huyo apone haraka. FEGI ndo zimemfikisha hapo alipo sasa. Akipona inabidi aache.
 
Ni hivi Mkuu: mimi najua kuwa Kamanda amelazwa Aghakan ila bado sijui anasumbuliwa na tatizo gani.Lazima niwe mkweli.Kuhusu Mohamed na Bob ni kuwa Kamanda alibadili jina kisheria na kuitwa Bob kutoka Mohamed.Ni hayo tu Mkuu.

Mkuu samahani sana, sa kumbe we unajua kuwa Kamanda alibadili jina kisheria na kuitwa Bob..Hii inamaanisha kuwa alilikana jina la awali na kutaka atambulike kwa jina jipya..Sasa swali langu kwako ni kuwa, imekuwaje wewe ukamwita kwa jina ambalo kisheria si lake!?
 
Ugua pole Kamanda.

1995 akiwa na akina Mzee Mtei na Mgombea ubunge Arusha Bw. Patterson waliandaa forum nzuri kwa vijana na maudhui yakiwa kukitambulisha kuwa CHADEMA ni chama cha kila mwananchi (hasa vijana); na ya kuwa vijana sio "Taifa la kesho" bali ni wadau hai na muhimu wa taifa wakati huu.... ili kwa pamoja tutengeneza Tz tunayoitaka kesho.

So tunayoyaona leo ya mwamko chanya wa vijana kwa CHADEMA ni kazi nzuri na endelevu ya waasisi, na Mh: Kamanda Makani akiwa mstari wa mbele kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom