BMW320i (millage 30,000km) kwa 6.5 million

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
kuna Bmw inauzawa mtanisamehe sina picha hapa.kwana imetokea urgent sana anae uza hii Gari anashida sana ya kusafiri haraka sana hivyo anauza Gari yake Aina ya BMW kama unataka piga hiyo namba kwa ajili ya kuona

model- BMW 320i
Year -1998
REG - namba za Uganda
Millage - 30,000km
Bei - 6.5MILLION(HAIPUNGUI)
condition -Excellent

kama unalitaka piga 0655677797 -ezekiel

njoo na fundi wako akague Gari,Nenda polisi ulizia kuhusu Gari kama unahofia chochote

mwenye Gari hili ana uhitaji wa fedha haraka ili safiri mapema iwezekanavyo

usini PM piga hiyo namba
 
Mkuu kuna kitu hapo hakiko sawa. ACHA KUDANGANYA WATU, Gari lenye umri wa miaka 14 tangu litakuwaje na 30,000km. Ina maana wastani wa mwendo wake kwa mwaka ni kilomita 2,140. Hii haiwezekani kama gari halina matatizo. Hata kuwapeleka watoto shule na kurudi nyumbani na kwenda sokoni mara moja kwa week itazidi hizo millage. Nyie ndo tunawatafuta mnaochakachua millage za magari na kuwadanganya watu. Weka specs za ukweli.
 
Mkuu inabidi ufute hili bandiko - Kumbe biashara yenyewe ishafungwa, nimepiga hiyo namba tumalizane jamaa anasema biashara mwisho ilikuwa saa 5 asbuhi na saiz gari iko njiani kuelekea Zambia. ??????
 
Back
Top Bottom