Bluray and the Role of Preciseness/Precision in Development

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
The Pundit, or Bluray to be precise, has raised an important question about the importance of being precise. Could this be the precise problem that is inhibiting Tanzania and Tanzanians from developing? If that is the case how do we transform such an imprecise society into a precise one? Is it through civilization and modernization? Does acculturation and adaptation of science and technology bring precision/preciseness? Or?

"By concentrating on precision, one arrives at technique, but by concentrating on technique one does not arrive at precision" - Bruno Walter
 
NOW,think of wale uliowaacha tz ambao ni zaidi ya maskini kwenye hiyo exposure na ka-elimu.hata boksi hawajabahatika kulibeba.....!IT'S A HELL BANA
 
Could this be the precise problem that is inhibiting Tanzania and Tanzanians from developing?

What is inhibiting Africa south of the Sahara from developing? The answer is simple!

Tanzania is not that much different developmentwise from many of the countries south of the Sahara. South Africa is an exception and we all know why it is more developed than the rest of Africa.

So the problem is not only not being precise but also lack of ingenuity, self confidence, motivation, and much more.
 
Companero ndio Bluray nini mbona kila mada yako lazima umtaje Bluray ka wanamuziki wa Congo kwenye manyimbo ya sebene....? ni swali na sitarajii tusi natarajia jibu.
 
jibu:EEH!NDIO YEYE:D
 
Companero ndio Bluray nini mbona kila mada yako lazima umtaje Bluray ka wanamuziki wa Congo kwenye manyimbo ya sebene....? ni swali na sitarajii tusi natarajia jibu.
Haaaa haaaaa haaaaaah...!
 
Companero ndio Bluray nini mbona kila mada yako lazima umtaje Bluray ka wanamuziki wa Congo kwenye manyimbo ya sebene....? ni swali na sitarajii tusi natarajia jibu.

He! No comment!
 
Tanzania is not that much different developmentwise from many of the countries south of the Sahara. South Africa is an exception and we all know why it is more developed than the rest of Africa..

Naona Komredi kumekucha sasa hivi karibu kuna kathread kako kalikuwepo hapa usiku wa manane.
 
What is inhibiting Africa south of the Sahara from developing? The answer is simple!

Tanzania is not that much different developmentwise from many of the countries south of the Sahara. South Africa is an exception and we all know why it is more developed than the rest of Africa.

So the problem is not only not being precise but also lack of ingenuity, self confidence, motivation, and much more.

Mkuu Julius can you be precisely explicit? What do you mean when you say "we all know why it is more developed than the rest of Africa."

I am sure we can debate whatever the presupposed notion is.

Again the quoted part is hardly precise!
 
Companero ndio Bluray nini mbona kila mada yako lazima umtaje Bluray ka wanamuziki wa Congo kwenye manyimbo ya sebene....? ni swali na sitarajii tusi natarajia jibu.
watu wanakaa nakujiulizA mbona huyu ana senksi kibao?!asijue wanatuma thredi NA KUJIPONGEZA KWA SENKS WAO WENYEWE!

halafu wanakaa na kujipongeza ''TUMEWAWEZA''!hahaha!we know you guyz
 
Naona Komredi kumekucha sasa hivi karibu kuna kathread kako kalikuwepo hapa usiku wa manane.

Kathread gani hako? Haka ka Companero? Kama ndio haka basi mimi niko nyumbani maana hii ndo anga yangu. Na uzuri wenyewe si lazima hata niseme chochote maana watu wataongea weeeee lakini mwisho wa siku watoto bado wanasomea chini ya miti ya ukwaju na ubuyu....Lol
 
Miafrika Ndivyo Tulivyo!

Hahahaha sio Mitanzania komredi? maana ukienda Miafrika ya Rwanda ipo tofauti na ya Tanzania ndo maana yanaendelea hivyo hivyo ukienda Miafrika ya S.A nayo imepiga hatua.
 
watu wanakaa nakujiulizA mbona huyu ana senksi kibao?!asijue wanatuma thredi NA KUJIPONGEZA KWA SENKS WAO WENYEWE!

halafu wanakaa na kujipongeza ''TUMEWAWEZA''!hahaha!we know you guyz

He! No comment!
 
Kathread gani hako? Haka ka Companero? Kama ndio haka basi mimi niko nyumbani maana hii ndo anga yangu. Na uzuri wenyewe si lazima hata niseme chochote maana watu wataongea weeeee lakini mwisho wa siku watoto bado wanasomea chini ya miti ya ukwaju na ubuyu....Lol

Nimeshakuambia kuongea huko kumewezesha watoto wakae kwenye madawati, wapate umeme na watumia kompyuta katika shule yako ya msingi! Hivi ulichanga wewe? Au unakumbukia tu miti ya mikwaju pale Vidudu?
 
Mkuu Julius can you be precisely explicit? What do you mean when you say "we all know why it is more developed than the rest of Africa."

I am sure we can debate whatever the presupposed notion is.

Again the quoted part is hardly precise!

I contend that South Africa is more developed than the rest of Africa south of the Sahara because it has the largest population of white inhabitants.

Is that precise enough?
 
watu wataongea weeeee lakini mwisho wa siku watoto bado wanasomea chini ya miti ya ukwaju na ubuyu....Lol

Kweli komredi maana siasa za sisi wabongo ni mdomoni tu kufanya matendo tunapiga hatua 2 nyuma kuna watu maskini sana ukienda Monduli watu wana njaa kali nn kifanyike watu bla bla tu. Vp Gym hujaenda?
 
Back
Top Bottom