Bluetooth

EARPHONE

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
355
66
Habari wanajamvi...!
Naombeni mnifahamishe kama kuna madhara yoyote yanayopatikana kwa ktk matumizi ya wireless earphone zinazotumia bluetooth.
 
Madhara yapo kaka, kwani teknolojia ya "Bluetooth" inatumia mawimbi ya usumaku ili kufanya kazi. Mawimbi haya ni sawa kabisa na yale yatumiwayo na simu za mikononi n.k
Madhara ya "Bluetooth" ni kama ifuatavyo:
1. Kansa ya Ubongo
2. Kansa ya Damu
3. Uzito wa mwili kuongezeka (Unene)
4. Kupoteza nywele
5. Kutokwa mimba (kwa wanawake)
6. maumivu ya kichwa
 
Kabla ya kufikiria radiation na mengine anza na kuharibu ngoma ya sikio unapotumia earphone (aina yeyote)
 
Back
Top Bottom