BlueScreen

nxon

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,162
406
Nna desktop hp compaq dc5750 microtower 1gbRAM, 2.20GHz dual core na 350HDD.
Ina tatizo moja huwa wakati naitumia inaleta bluescreen ina maandishi kwamba 'A problem has been detected and windows has shut down to prevent the damege to your computer' kuna maneneo mengine mengi inaandika. Sasa wataalamu wa mambo ni nini tatizo?
 
blue screen ina maanisha ni tatizo la windows, jaribu ku repair window na kucheck disc errors
 
Some HP's partition the hard drive. have you tried tapping either F11 or F12 while booting (before it goes to the starting mode option screen)? it might take you to an HP recovery program in that partition (since windows won't load to use that recovery)

Matatizo ya hiyo
Desktop yako ya hp compaq dc5750 microtower 1gbRAM, 2.20GHz dual core na 350HDD. Hebu kama waweza ifunguwe ndani kisha badilisha hiyo RAM kama unayo ingine weka itakuwa ni Matatizo ya hiyo RAM ndio maana inaleta Blue screen. na pia angalia Graphic Card ni modeli ipi? na unatumia windows ipi wewe?
 
s.gif
s.gif
s.gif
SUPPORT COMMUNICATION - CUSTOMER ADVISORY

Document ID: c01680896

Version: 2

Advisory: HP Compaq Business Desktop PCs - Intermittent Video Corruption Followed By VPU Recover Error Or Blue Screen Error

NOTICE: The information in this document, including products and software versions, is current as of the Release Date. This document is subject to change without notice.

Release Date: 2009-02-26

Last Updated: 2009-06-01

DESCRIPTION
The display intermittently exhibits corruption in the form of random vertical lines. When the issue occurs, one of the following occurs
Error message displayed: "VPU Recover has reset your graphics accelerator as it was no longer responding to graphics commands."
The error dialog box can be dismissed and the system continues to function.
Or

Message diplayed on blue screen: Intercepted Fatal System Error: 0x000000EA
The system must be restared to recover from this conditon.

NOTEThe blue screen error only occurs on systems that do not have the ATI Catalyst Control Center (CCC) installed. CCC has a feature that prevents the blue screen error and reports the VPU Recover error instead.

SCOPE
This can occur on any system with an ATI Radeon HD 2400XT graphics card installed, including the HP systems listed below:
Systems:

  • HP Compaq dc5700 Microtower PC
  • HP Compaq dc5700 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc5750 Microtower PC
  • HP Compaq dc5750 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc5800 Microtower PC
  • HP Compaq dc5800 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc5850 Microtower PC
  • HP Compaq dc5850 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc7700 Convertible Minitower PC
  • HP Compaq dc7700 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc7800 Convertible Minitower PC
  • HP Compaq dc7800 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc7900 Convertible Minitower PC
  • HP Compaq dc7900 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dx2390 Microtower PC
  • HP Compaq dx2400 Microtower PC
  • HP Compaq dx2450 Microtower PC
  • HP Compaq dx7400 Microtower PC
  • HP Compaq dx7400 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dx7500 Convertible Minitower PC
  • HP Compaq dx7500 Small Form Factor PC

Display adapter:

  • ATI Radeon HD 2400XT (256MB DH) PCIe Graphics Card

Operating Systems:

  • Microsoft Windows XP Home Edition
  • Microsoft Windows XP Professional Edition

RESOLUTION
HP has prepared a SoftPaq that updates the ATI Radeon HD 2400XT graphics card firmware and resolves the issue. Please use the following link to download the SoftPaq, release notes, and instructions. Please read the installation instructions and system requirements carefully before proceeding.
SP42007 File Download
SP42007 Instructions/Information

Please read the installation instructions and system requirements carefully before proceeding.
http://h20000.www2.hp.com/bizsuppor...c=us&objectID=c01682540&jumpid=reg_R1002_USEN

Matatizo yako yatakuwa ni hiyo Graphic Card yako ya ATI inatakiwa U upadates kwa kubonyeza hapa SP42007 File Download
SP42007 Instructions/Information

ukifanikiwa Tafadhali unipe feedback.
 
Some HP's partition the hard drive. have you tried tapping either F11 or F12 while booting (before it goes to the starting mode option screen)? it might take you to an HP recovery program in that partition (since windows won't load to use that recovery)

Matatizo ya hiyo
Desktop yako ya hp compaq dc5750 microtower 1gbRAM, 2.20GHz dual core na 350HDD. Hebu kama waweza ifunguwe ndani kisha badilisha hiyo RAM kama unayo ingine weka itakuwa ni Matatizo ya hiyo RAM ndio maana inaleta Blue screen. na pia angalia Graphic Card ni modeli ipi? na unatumia windows ipi wewe?
natumia windows 7 ultimate. graphics card ni ATI Radeon Xpress 1150
 
katika blue screen of of death inayotokea note "code error" lets say 0xc0000007b then ingia google type hizo code error na utapata maelezo kuhusiana na tatizo na jinsi ya kulitatua. ukishindwa nitumie hizo code nizifanyie kazi, ili tujue tabu ni nini.
 
maelezo uliyopewa ni mazuri ingawa unatakiwa kukumbuka tatizo lilianza lini labda kuna software uliweka,au ram kama ulivyoambiwa lakini graphc card tatizo ungeliona zamani mno,pia umesharepair au kuinstal hiyo OS upya au,
 
s.gif
s.gif
s.gif
SUPPORT COMMUNICATION - CUSTOMER ADVISORY

Document ID: c01680896

Version: 2

Advisory: HP Compaq Business Desktop PCs - Intermittent Video Corruption Followed By VPU Recover Error Or Blue Screen Error

NOTICE: The information in this document, including products and software versions, is current as of the Release Date. This document is subject to change without notice.

Release Date: 2009-02-26

Last Updated: 2009-06-01

DESCRIPTION
The display intermittently exhibits corruption in the form of random vertical lines. When the issue occurs, one of the following occurs
Error message displayed: "VPU Recover has reset your graphics accelerator as it was no longer responding to graphics commands."
The error dialog box can be dismissed and the system continues to function.
Or

Message diplayed on blue screen: Intercepted Fatal System Error: 0x000000EA
The system must be restared to recover from this conditon.

NOTEThe blue screen error only occurs on systems that do not have the ATI Catalyst Control Center (CCC) installed. CCC has a feature that prevents the blue screen error and reports the VPU Recover error instead.

SCOPE
This can occur on any system with an ATI Radeon HD 2400XT graphics card installed, including the HP systems listed below:
Systems:

  • HP Compaq dc5700 Microtower PC
  • HP Compaq dc5700 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc5750 Microtower PC
  • HP Compaq dc5750 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc5800 Microtower PC
  • HP Compaq dc5800 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc5850 Microtower PC
  • HP Compaq dc5850 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc7700 Convertible Minitower PC
  • HP Compaq dc7700 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc7800 Convertible Minitower PC
  • HP Compaq dc7800 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dc7900 Convertible Minitower PC
  • HP Compaq dc7900 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dx2390 Microtower PC
  • HP Compaq dx2400 Microtower PC
  • HP Compaq dx2450 Microtower PC
  • HP Compaq dx7400 Microtower PC
  • HP Compaq dx7400 Small Form Factor PC
  • HP Compaq dx7500 Convertible Minitower PC
  • HP Compaq dx7500 Small Form Factor PC

Display adapter:

  • ATI Radeon HD 2400XT (256MB DH) PCIe Graphics Card

Operating Systems:

  • Microsoft Windows XP Home Edition
  • Microsoft Windows XP Professional Edition

RESOLUTION
HP has prepared a SoftPaq that updates the ATI Radeon HD 2400XT graphics card firmware and resolves the issue. Please use the following link to download the SoftPaq, release notes, and instructions. Please read the installation instructions and system requirements carefully before proceeding.
SP42007 File Download
SP42007 Instructions/Information

Please read the installation instructions and system requirements carefully before proceeding.
HP Compaq dc5750 Microtower PC - Blue Screen Stop Message when 8 GB Memory Is Installed on Microsoft Windows Vista Business (64-Bit) - c01682540 - HP Business Support Center

Matatizo yako yatakuwa ni hiyo Graphic Card yako ya ATI inatakiwa U upadates kwa kubonyeza hapa SP42007 File Download
SP42007 Instructions/Information

ukifanikiwa Tafadhali unipe feedback.
thanks! ndo nimeiweka asa iv ntkuletea feed back zaidi
 
katika blue screen of of death inayotokea note "code error" lets say 0xc0000007b then ingia google type hizo code error na utapata maelezo kuhusiana na tatizo na jinsi ya kulitatua. ukishindwa nitumie hizo code nizifanyie kazi, ili tujue tabu ni nini.

dah hiyo ni ngumu nimejaribu kurecord hizo code nimeshindwa coz iko fast ina display bluescreen na kuzima papo kwa hapa
 
natumia windows 7 ultimate. graphics card ni ATI Radeon Xpress 1150
Ninakushauri Ufanye hivi Restart Computer kisha kabla haijafunguka bonyeza F8 kisha windows yako itabadilika na kuja Weusi ingoje

ifunguke kisha ubonyeze hapa (Safe Mode with Networking) Usubiri Windows ipate kufunguka kisha bonyeza Enter ikifunguka angalia huko je inaleta Bluesrceen? kisha huko jaribu ku download driver ya hiyo Graphic Card yako ya ATI bonyeza hapa ATI Radeon Xpress 1150 Catalyst Software Suite v.10.2 download for Windows Vista, Windows Vista 64-bit, Windows 7, Windows 7 64-bit

kisha jaribu kuiweka hiyo driver kisha Restart you Computer angalia je italeta ( BlueSrceen Death ) kama ni bado itabidi uifunguwe kwa ndani hiyo Desktop Computer yako kisha uitowe hiyo RAM kama vipo vijiti zaidi ya Kimoja kwa mfano hiyo RAM yako

ni 1GB ina vijiti viwili kila moja ni 512 MB toa kimoja wacha kimoja Restart Computer yako kisha angalia je inaleta hiyo blue screen Death? ikiwa kama ni bado basi jaribu kubadilisha tena RAM hiyo uliyotoa weka toa iliyobaki kwenye

Desktop yako kisha angalia je bado inaleta hiyo Blue Screen Death? ikiwa bado basi itakuywa ni hiyo Graphic Card yako ya ATI ndiyo yenye matatizo itowe na utumie Graphic card ya Motherboard yake kisha washa Computer uangalia je bado inaleta hiyo blue Screen? kisha unipe feed back.

Matatizo ya Computer yako ni hiyo RAM Au Graphic Card jaribu nilivyo kueleza kisha utaniambia maendeleo yake mimi pia yamekwisha nitokea hayo nikabadilisha Graphic card na kuweka mpya na kwisha matatizo. Je unatumia Motherboard model gani?
 
yah! Hiyo process niliifanya jana nlidisconect RAM, HDD, CPU, na battery memory nikaiacha kama 5hrs. Naona kama imesaidia coz toka nimeiwasha leo asubuhi ina piga kazi vizuri na iko fast kama kawaida! Kuhusu motherboard model sijui jinsi ya kuangalia ila nimeifungua ndani nikaziona hizi M2RS485-BTX.105 sina uhakika kama ni zenyewe.
Thanks.
 
hii (M2RS485-BTX.105) uliyotoa nimejaribu kuiangalia sijapata jibu zuri. ukitaka kujuwa Motherboard yako jina gani hebu bonyeza hapa ui Download hii Tools. Download CPU-Z 1.60 - FileHippo.com Ubonyeze Mainboard utaona jina la Motherboard yako. Kwa mfano yangu mimi ni hivi Manufacturer ( Biostar Group) Model ( P4M900-M7 FE) hiyyo ndio Motherboard yangu ( P4M900-M7 FE)

yah! nimeiona iko hivi model- 0A64h
 
yah! nimeiona iko hivi model- 0A64h
Hujamaliza kusema inaitwaje jina lake? umetoa CPU model namba yake ona hii ya kwangu inavyoitwa Biostar Group Model ( P4M900-M7 FE) hiyo uliyotoa sio motherboard ni CPU nayo ni hii hapa jina lake ( AMD Athlon II X4 631) hujatoa bado Motherboard jina lake mkuu.
 
poa iko hivi kwenye option ya motherboard
manufacture - hewlett-packard
model -0A64h
chipset -ATI Xpress 200 (RS480)
southbridge -ATI SB600
LPCIO -SMSC SCH5317
 
Back
Top Bottom