Blood groups

BAK Mkuu ukiwa upo Serious waweza kupata Wachumba humu ndani Waswahili husema Masihara Masihara mwisho huwa ni kweli Mkuu Hhaahahahah umenifurahisha mkuu Ukipendwa jipendekeze tu sio mbaya.:lol:

Ni kweli kabisa Mkuu MziziMkavu kuna akina dada hapa jamvini wa maana sana tena wametulia ile mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Kama ya Mr & Mrs MziziMkavu :):)
@BAK hahahahah :):) sawa nimekuelewa Bubu atakaposema Mambo yatapomzidia itabidi umtafute mchumba mwenye Damu Group 0+ Positive.
ZoomButt.gif
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hehehe MziziMkavu na gfsonwin au Mr & Mrs MziziMkavu....mie naomba mwaliko tu wa harusi hii, popote pale duniani nitazuka kuhudhuria harusi hii :):)...Kila la heri.
BAK, Hata hivyo ndio tunataka tumwombe Bi mkubwa ruhusa ili akubali kupeleka mahari kwetu. MziziMkavu kasema itaitwa harus ya EDEN huko mtakula matunda na asali tu na divai tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama ya Mr & Mrs MziziMkavu :):)
BAK, umeona jinsi ilivyo na advantage hii blood group? yaani labda nikuongezee tu watu wenye this tpe of blood wana folds nyingi kwenye brain, humu kwenye folds ndimo zinamokaa akili so study moja ilifanywa USA wanafunzi ambao walikuwa na type O+ blood walionekana kuwa na akili zaid kwan kwao mikunjo ya ubongo ni mingi sana. Mzizizmkavu nafikir utakubaliana na mimi kwa hili.
 
Last edited by a moderator:
BAK, Hata hivyo ndio tunataka tumwombe Bi mkubwa ruhusa ili akubali kupeleka mahari kwetu. MziziMkavu kasema itaitwa harus ya EDEN huko mtakula matunda na asali tu na divai tu.
gfsonwin mie pia nitajitahidi kuwaombea kwa Bi Mkubwa ili atoe ruhusa kwa Mr MziziMkavu alete mahari nyumbani...Nimeshaweka order yangu ya kadi ya mwaliko...kokote kule duniani nitaenda ili kuhudhuria harusi hii ya wapendanao :):)
 
BAK, umeona jinsi ilivyo na advantage hii blood group? yaani labda nikuongezee tu watu wenye this tpe of blood wana folds nyingi kwenye brain, humu kwenye folds ndimo zinamokaa akili so study moja ilifanywa USA wanafunzi ambao walikuwa na type O+ blood walionekana kuwa na akili zaid kwan kwao mikunjo ya ubongo ni mingi sana. Mzizizmkavu nafikir utakubaliana na mimi kwa hili.
@gfsonwin ni Kweli unayoyasema Watu wenye Damu yenye Group 0+ ni Group moja Strong kali sana katika Ma Group ya Damu Kiongozi wao ni Group 0+ kwa hiyo sisi wenye Damu ya Group 0+ Tumejaaliwa na Mwenyeezi Mungu kwa kila kitu asante sana Mwalimu wangu GOD Bless you.
gfsonwin mie pia nitajitahidi kuwaombea kwa Bi Mkubwa ili atoe ruhusa kwa Mr MziziMkavu alete mahari nyumbani...Nimewshaweka order yangu ya kadi ya mwaliko...kokote kule duniani nitaenda ili kuhudhuria harusi hii ya wapendano :):)
Mkuu@BAK Na wewe pia tukutafutie Mchumba mwenye Group 0+ humu ndani ya Jamii forums.
ZoomButt.gif
 
gfsonwin ni Kweli unayoyasema Watu wenye Damu yenye Group 0+ ni Group moja Strong kali sana katika Ma Group ya Damu Kiongozi wao ni Group 0+ kwa hiyo sisi wenye Damu ya Group 0+ Tumejaaliwa na Mwenyeezi Mungu kwa kila kitu asante sana Mwalimu wangu GOD Bless you.
Mkuu@BAK Na wewe pia tukutafutie Mchumba mwenye Group 0+ humu ndani ya Jamii forums.
ZoomButt.gif
MziziMkavu ni kweli this is the dominant blood group, iko powerfull na very resistable to diseases. nashukuru sana kwa wote waliosoma na kuilewa hii post.
BAK, usijali hii ndoa itafungwa na wewe utakuwa ni mweka hazina wa michango ya harus.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! Mkuu MziziMkavu hili la kutafuta mchumba kwa kutumia blood group litakuwa ni la aina yake LOL! Mabinti ambao labda hawajui group zao itabidi wazijue haraka sana :):)....Nikiwa tayari nitawastua Mr & Mrs MziziMkavu... gfsonwin mbona unataka kunipa kazi ngumu ya uweka hazina bana!?...mie nilitaka kuja kujichana tu na kujirusha kwa sana sasa unanipa majukumu mazito!!! LOL!
 
@BAK Binadamu inatakikana kila Mtu kujuwa upo kwenye position gani?Sio tu binadamu awe anaishi kama mnyama pasipo kujuwa yupo hali gani kiafya? itabidi watu walijuwe hilo suala la Damu Group ni muhimu kwa kujenga familia na kila kitu katika maisha ya kila siku ya Mwanadamu.
ZoomButt.gif
 
Mhhhhh! Mkuu MziziMkavu hili la kutafuta mchumba kwa kutumia blood group litakuwa ni la aina yake LOL! Mabinti ambao labda hawajui group zao itabidi wazijue haraka sana :):)....Nikiwa tayari nitawastua Mr & Mrs MziziMkavu... gfsonwin mbona unataka kunipa kazi ngumu ya uweka hazina bana!?...mie nilitaka kuja kujichana tu na kujirusha kwa sana sasa unanipa majukumu mazito!!! LOL!
BAK ni huku Tz tu watu hatuhangaiki kujua blood groups zetu. Wenzetu hiki ni kitu basic sana manake hata kwenye diary wanaandika incase of anything anapata reference. MziziMkavu nafikir bado watu wengi sana hawana uelewa juu ya elimu ya afya na wawe na nini as their references. mathalani yampasa kila mtu kuwa na mahali panapoonyesha blood group yake na allergies alizokuwa nazo ili kukwepa madhara awezayo kuyapata kiafya but huku tunajiishia.
 
@gfsonwin...kwenye nchi nyingi za wenzetu kuna kitu kinaitwa health card ambayo inakuwa na info zako zote ikiwemo blood group, allergies (if any) kama una magonjwa yoyote na dawa unazotumia na pia kama umejiandikisha kama organ donor. Hivyo inapotokea kuanguka ghafla barabarani au kupata ajali hata kama huna kauli basi kama unayo hiyo health card wataingiza jina lako kwenye computer na kupata info zako zote na hivyo kukupa huduma inayostahili kama ndio wanadhani kwamba uhai wako ndio unafikia tamati na ulijiandikisha kama organ donor basi huanza mara moja zoezi la kuvuna hizo organs baada ya kukata roho....hili la kuwa organ donor bado halina support kubwa kwa wahamiaji hata wenyeji pamoja na kampeni za nguvu kila mwaka ili kuongeza idadi ya organ donors...na ilishatokea law suit pale ambapo ndugu wa marehemu waligundua jamaa (hospital) wamevuna organs mbali mbali pamoja na huyo marehemu kutokuwa mmoja wa organ donors na walilipwa pesa nzuri...utavunaje kitu ambacho hujakipanda bila ya ruhusa ya muhusika!? huo ni wizi!!!

Back
Top Bottom