Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 20
Originally Posted by Mlalahoi
Kwahiyo hata akiwasaliti hao asilimia 80 ya waliomchagua bado aendelee kupigiwa makofi?Huu sio unafiki bali kujikomba kwa watawala.Bad news to your my fellow mlalahoi,huyo JK unayejikomba kwake is too busy kuwalinda mafisadi than to care about what you're trying to do.Shame on you!
Shame upon you to for note defending your president at this hour when he needs you against the mafisadi tide. Just press these links Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua and JJ you read how these guys are discrediting our president. Jk needs our support otherwise if we all bomber him he will enventually side with mafisadi
.......ndiyohiyo
Ndugu yangu habari ndiyo hiyo;
Hakuna haja ya kumjibu mtukanaji sawasawa na utukanaji wake.
Mwache aendelee kutukana hadi mwisho wa siku atajua kuwa alilokuwa analifanya alikuwa analifanya ndivyo sivyo.
Mie ninakuunga mkono kuwa: Rais wetu apewe heshima yake kama Rais na mkuu wa nchi na pia tumuunge mkono kwa juhudi anazozifanya za kupambana na Mafisadi.
Hao wanaomkejeli ukiwapa ikulu siku moja tu watavurunda kila kitu.
Mungu akubariki na kukuneemesha Mh. Rais wetu JM Kikwete.