Bloggers: Nafikiria kuacha kuangalia/kusoma habari za baadhi ya blogs

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,397
Baadhi ya hizi blog zina matatizo ya kiufundi. Ukifungua ni matatizo matupu.zinafunguka kwa mwendo wa konokono na pengine utalazimka hata kufunga programu zingine zote kusubiri ifunguke.sidhani kama suala ni picha au video nyingi kwa sababu kuna blogs zina mapicha na video kibao lakini unafungua kiulaini tu na wala hupati shida ya kuendelea na programu zingine ulizozifungua.Sitataja mtu lakini naomba wamiliki wa blogs wanaojijua blogs zao zina tatizo hili warekebishe haraka kabla hatujawakimbia.
 
Ili blog yako isichukue muda mrefu kuload unatakiwa upangilie kurasa ziwe na post chache sana. Mfano post5 hadi 10 tu,zikizidi hapo wasomaji wako watakimbia kwakuwa kilamtu anataka ku save time.Pili post zisiwe ndefu sana kwani nayo inasababisha blog kuload muda mrefu na pia wasomaji nao wanachoka kusoma post ndefu. Tazama,JF post 25 ni ukurasa1 ndio maana ukigusa thread inafunguka.
 
very true
 
Back
Top Bottom