Blogger.com Vs Wordpress (self-hosted)

mdeesingano

Member
Aug 12, 2008
64
19
Tupatie hapa advantage na disadvantage za blogger.com ikilinganishwa na wordpress self hosted...
 
Mhhh ebu nipe shule sina utaalam sana na blgger . kwani blogger inaweza kuwa installed au kinachofanyika ni u rename domain tu? SIjawai kujaribu blooger lakini naweza kujiita mtaala wa wordpress.

  • Word pres ina support base kubwa na ina flavour tofuati za customisation
  • Blogger ni blog lakini wordpress in light weight CMS. I mean unaweza tengeneza full light weight website kwa wordpress
  • iwe ni kwa jili ya kutangaza bishara ndogo, ofisi, personal au hata wabunifu na wasanii kuna themes na templeate zinazoendana na maudhui ya tovuti ukitumia wordpress. Mfano mwenye duka la nguo anaweza kuamua kuaisha blog na kutumia them ya blue jeans Blue Jeans Wordpress Theme - Download Blue Jeans Wordpress Template . Its free and customisable.
Huo ni mtazamo tu na mm nina kablogweb ninakoendelea kujifunza wordpress haka hapa teknohama-Bongo - . sijui kama ningeweza kufanya hivi kwa blogger.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom