Blog za kina dada

Kuna baadhi ya blog za kinadada ni nzuri na zinaelimisha, kuna moja niliiona nadhani inawalenga wakristo zaidi ila ni nzuri maana inaelimisha sana. inaitwa womenofchrist.wordpress.com

Hi NeemaNey!.

welcome to jamii forum.
 
hata huwa sifungui blog hizi

hata kipindi chao LEO-TENA huwa sikitaki wala sikifuatilii
HAKUNA KITU CHOCHOTE creative

mtangazaji public anasisitiza usafi wa mwanamke akiwa hedhi,au anapojiandaa kukutana na bf wake kimwili!
INAWEZEKANA NI SAHIHI!lakini kuyajadili haya PUBLIC,SIO SAHIHI!anawake wana majukwaa mengi tu ya kujifunzia mambo ya kikubwa!SIO KWENYE MAREDIO!

WAMEWAHI KUSABABISHA NIMKIMBIE SHANGAZI MAMA YANGU MKUBWA SEBULENI HAWA!sitaki kabisa kuwasikiliza!SITAKI!
 
Jamani nyie.Hii iliinza kama namna yakuelimishana 2 sasa imegeuka sehemu yakushushana hadhi.Ohhh wanawake hamna akili...mara IQ yenu ndogo n.k....kwa kusema hivyo unakua hututendei haki wanawake maana sio wote tunafanana.Katika kila kundi la watu kuna wabaya na wazuri...wenye akili na wasio nazo, na kwenye hili swala mnaloliongelea tunatofautiana sana.Sio haki kumhukumu mtu mmoja kwasababu ya kosa la watu wawili wa aina yake.Kaa ufikirie ....sio Waafrika wote ni wajinga...ila wazungu wengine ndivyo wanavyotuchukulia, Sio wanaume wote ni waongo ila mwanamke akitendwa ndivyo atakavyofikiria.All in all kwenye hizo sentensi zenu naomba muwe mnaongeza neno BAADHI ya...hapo haki itakua imetendeka.Shukrani!
 
Mwanawake kazi yake ndo hiyo tu..ngono hata afanye nini mwisho wa siku ataishia hapo...unajua haya mambo tunajifanya hayapo kisa Being jie walikaa wakasema wanawake na wanaume wako sawa...wapiiiii. Ukweli utabaki pale pale kuwa mwanamke ni burudani tu. Najua wapo watakao leta mjadala wa kinafiki eti ooh fiksi umekiuka haki za fulani kama yupo atakae sema hivyo basi ajiandae na mjadala wa milele.

it is higher time we go back to religious teachings, hata mitume inaonyesha ilikuwa wanaume na akina bikra walipewa jukumu la kuzaa. Period.
 
ulisoma mathematics? approximation 1.7 ni 2 hio mkuu....kati ya blog 10 basi 7 upupu mtupu.....zimejaa picha za beyonce na RiRi

Mkuu utaendaje bar ukafanya survey utoke useme asilimia kubwa ya Watanzania ni walevi? Hizo blog wewe unazo tembelea ni zipi? ume jaribu kutafuta more intelligent blogs? It is obvious una tembelea blog za mapenzi sasa wewe uli tegemea kukuta nini?
 
Nikuulize wewe unao generalize wanawake kwa kuangalia blog za mapenzi.
aisee umesoma maudhui ya thread arifu? blogs za wadada wa kitanzania......nitajie blogs 5 ambazo unaweza kukaaa na mama,baba yako hata bintiyo mkaangalia?

blogs nyingi za wadada wa kitz hazina mambo mapya zaidi ya kubandika mapicha ya beyonce na viatu vya visigino virefu....
 
Mimi nadhani kuna akina dada wengi tu wenye heshima na akili zao ambao hata kuanzisha blog wanaona haina tija

Ni bahati mbaya kuwa blog za akina dada zilizopo na zinazofahamika, zinaonekana kuwa na mrengo wa kimapenzi zaidi

Hata hivyo, mimi nashauri aliyeleta mada hii atuambia utafiti wake sample size ilikuwa ngapi? ajaribu kuorodhesha blogu zote zinazosemekana kuwa za akina dada, kisha atuonyeshe hizo zenye mrengo wa kimapenzi ni ngapi kitarakimu ili kumaliza ubishi hapa.
 
kasema mawowowo mwanaume nikampa ushahidi kuwa ni demu......akanywea dizaini huyu anahitaji apewe shule......
wanasubiri WoS achangie watoe thanks.........

Unless kuna tatizo jingine..mzee wa mawowow aka malongomba ni mwanaume

So come up with another claim lakini hiyo siyo kabisa unamwonea bure Pretty

Check profile yake hapa: Mawowowo
 
so far nimeshaziona na kutembelea mbili. ya Diva wa clouds na Dina wa clouds pia. sijajua kama kuna wengine wana blog zao. kilichonifanya niwaanike ni kuwa hawana jipya. mmoja alirushwa sana kwenye blog ya michuzi kuwa kaanzisha blog, kutembelea ndio hivyo tena. yaani bora wangezungumzia mapenzi-ni ngono tupu! huyu anazungumzia kifo cha mende na huyu anazungumzia ni mwanaume gani celeb wa bongo ungependa ku-do nae! nimegundua wamelalia katika mapenzi kwa vile hakuna nguvu ya ziada kutafuta habari. '

Hata hivyo, mimi nashauri aliyeleta mada hii atuambia utafiti wake sample size ilikuwa ngapi? ajaribu kuorodhesha blogu zote zinazosemekana kuwa za akina dada, kisha atuonyeshe hizo zenye mrengo wa kimapenzi ni ngapi kitarakimu ili kumaliza ubishi hapa.

Utafiti wake ameufanya katika blog mbili tu, soma vizuri bandiko lake! Wala usijipinde sana kuchangia, hii imekaa kiutamu utamu hivi!
 
Utafiti wake ameufanya katika blog mbili tu, soma vizuri bandiko lake! Wala usijipinde sana kuchangia, hii imekaa kiutamu utamu hivi!

Duh! Afadhali ngoje nirizevu nguvu zangu kwa ajili ya vitu vingine

Save water drink beer...LOL
 
I dont agree with people (being men or women) having blog za ngono.
Secondly kuna blog nyingi tu za wanawake wa Tz ambazo ni nzuri sana. yupo Subi wa nukta77 anatisha kwa collection nzuri, blog ya mamanamwana, Happy Katabazi na blog nyingine za Kikristo je na hizi ni ngono?
Haafu kuhusu wanawake kuwa wakiwa viongozi wa Taifa ''watachemsha'' kwani hao wanaume ndo wamefanya nini so far zaidi ya ufisadi?
Don't judge a person by his or her gender.
 
Sasa wewe pointi yako nini?
 
Unless kuna tatizo jingine..mzee wa mawowow aka malongomba ni mwanaume

So come up with another claim lakini hiyo siyo kabisa unamwonea bure Pretty

Check profile yake hapa: Mawowowo
mkuu angalia email anayotumia ni NESTAMBUGI@GMAIL.COM kumbuka hio blog ilianzishwa na dume akaitema kwa sababu zake binafsi na sasa NESTA ndio admin.....usibishe nenda kwenye profile yake weka cursor kwenye email juu kushoto kisha angalia chini kabisa ya ur browser utapata kitu kama hiki....
attachment.php
 
Attachments

  • blg.rar
    56.7 KB · Views: 1,265
Back
Top Bottom